Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
915 Reactions
1M Replies
38M Views
Naona mambo sasa yamekaa sawa. Yale matamko yaliyokuwa yanatolewa na Makanisa (TEC) na Ule Muunganiko wa Makanisa mengine hasa kipindi cha Pasaka, Yametulia kabisa. Huu Mwaka hakuna kanisa lenye...
1 Reactions
11 Replies
125 Views
Hapana shaka kabisa Zanzibar imejibebea sifa nyingi hapa ndani katika jamhuri ya Muungano na nje ya nchi pia. Na imebeba historia kubwa ya mambo ambayo inawafanya wageni kutoka mataifa mbali...
0 Reactions
6 Replies
61 Views
Taifa la Mungu wakati tukijiandaa kusherekea Pasaka siku ya jumapili. Wakirsto waliopo Zanzibar wapo kwenye mtihani mkubwa. Zanzibar kwa sasa ukila mchana unakamatwa na polisi na kuwekwa ndani...
47 Reactions
291 Replies
5K Views
Video hii inaonesha mtu akichapwa fimbo huku akiambiwa "Hapa si bara" sababu za kuchapwa eti ni kwa kuwa amekula mchana chakula wakati wa Ramadhani. Hivi Zanzibar, mnawachukuliaje watu wa bara...
18 Reactions
409 Replies
6K Views
Nimestushwa na kuogopa tena nikalazimika kuisoma Katiba ya Zanzibar mara mbili. Leo Waislamu wa Zanzibar wanawavamia na kuwapiga vibaya Wazanzibar wenzao ambao sio Waislamu kwakuwa tu wanakula...
13 Reactions
359 Replies
21K Views
Leo ni siku ya ijumaa, al hamdu liLlah nimesali pamoja na waislamu wenzangu, nasubiri muda wa iftar ufike kisha sala ya ISHAA then TARAWEEH inshaa Allah Ila nitasikitika sana sana Ndugu zangu...
4 Reactions
10 Replies
48 Views
Ni Mchezaji mwenye Nuksi hasa akivaa Kitambaa cha Unahodha au akichaguliwa kwenda kufanya Pre Match Meeting na Watu wa Media. Naheshimu mno Kipaji chake na Uwezo wake wa kucheza Mpira ila huwa...
3 Reactions
18 Replies
609 Views
Habari zenu jamani, Mimi ni kijana Nina Miaka 25 nina jambo langu linaeda kama ifuatavyo. Kipindi nipo chuo mwaka wa kwanza ambapo nilikuwa nasomea kada ya Afya, Kuna Binti nilikuwa naye kozi...
13 Reactions
164 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,840,619
Posts
49,207,499
Members
664,059
Latest member
Proces Tech
Back
Top Bottom