Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
915 Reactions
1M Replies
38M Views
Sote tunajua ile miradi ya kipuuzi iliyopigiwa sana chapuo na Bashe, aliyoiita ni miradi ya ajira kwa vijana. Kupitia miradi hiyo, wizi mkubwa wa pesa umefanyika. Walisema kuwa gharama ya kuandaa...
3 Reactions
9 Replies
174 Views
Kuna vitu ambavyo watu wengine wanaona kama trend au kawaida ila Mimi siwezi kufanya au kumiliki.Mfano kuweka na mito mingi kwenye kitanda, kuwa na Snapchat kwenye simu au account ya TikTok n.k...
19 Reactions
265 Replies
3K Views
Ukiwa mkoani ukiona zile picha za posta unaweza sema das’ laam ni kama ulaya. Ndugu zangu jiji letu pendwa ndio hilo hapo kwenye picha. Hii picha imepigwa na club ya Al ahly ya nchini Misri na...
15 Reactions
54 Replies
1K Views
Nmesikitika sana baada ya kukaa na kuangalia vijana wa sasa jinsi walivyo na mambo haya hivi kweli, Nimeangalia hii video sijaelewa lengo zima la hawa wanaume lilikuwa ni nini? Yaani mnataka...
11 Reactions
227 Replies
19K Views
Tulielezwa Chadema ina wanachama takribani milioni nane (8) ila Idadi ya wapiga kura chaguzi za ndani Chadema haifiki hata watu mia moja (100+) ipo chini ya watu 60 yaani kila Mkoa zilipofanyika...
3 Reactions
36 Replies
547 Views
Inaonekana wazi serikali haiwezi kuendesha shirika lolote. Mwendokasi na hasara za ATC ni mfano wa karibuni juu ya kushindwa huko. Mwendokasi unaenda kutafutiwa muwekezaji kutoka nje!! Huku ni...
5 Reactions
25 Replies
237 Views
Shehe huyu kutoka msikiti wa Madina ambao haukuweza kujulikana mara moja mkoa ulipo, amesikika akiongea kwa ukali sana akiwananga wale wote wanaomtukana mama kwa sababu ya kuuza bandari kwa...
6 Reactions
49 Replies
930 Views
Humu kuna watu wengi sana. Nilipiga kutokana maelezo ya baadhi waliojielezea kwa mf bado miaka 3 astaafu. Inamaana huyu ni 57 years. Je kuna uwezekano wapo wa 80years of age?
1 Reactions
5 Replies
35 Views

FORUM STATS

Threads
1,840,628
Posts
49,207,902
Members
664,059
Latest member
Proces Tech
Back
Top Bottom