Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ukitaka uwe mtafutaji wa hela alatu uje ulalamike hela huioni na inapatikana wewe kuwa kwenye mahusiano ya kudumu na rundo la wanawake, wanawake wa sasa ni chazo kimoja wapo cha kutufilisi wanaume...
0 Reactions
2 Replies
12 Views
Ndugu zangu nataka kujua za EWURA hapa Dar es Salaam. Nime- Google sehemu nyingine wanasema ziko Kijitonyama PSPF Tower, sehemu nyingine wanasema ziko Mawasiliano Tower - Sam Nujoma Road. Na simu...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Yaani dunia ya sasa mwanaume ukijiweka kwenye angle ya kujifanya nice guy lazima ulambwe. 20% zinatosha kua humble na 80% kua katili ukiwa humble lazima lilikukute jambo baya na gumu. Yamewahi...
11 Reactions
22 Replies
238 Views
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya. Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
112 Reactions
381K Replies
10M Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
121 Reactions
511K Replies
29M Views
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema limelazimika kuzima mitambo mitano kwakuwa majitaji ya umeme yapo chini huku uzalishaji wa umeme ukiwa ni mwingi. TANESCO imesema hayo wakati Afisa wa...
2 Reactions
40 Replies
699 Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
40 Reactions
50K Replies
3M Views
Habari zenu wandugu, naomba kaushauri kidogo Kuna demu nilikuwa na mahusiano naye kabla ya yeye nilizaa na mwanamke mwingine. Huyu demu ambaye bado sikuzaa naye alinikubari sana kifupi wote hata...
5 Reactions
21 Replies
314 Views
Niko zangu youtube mara ghafla binvuu linakuja tangazo la namna hii, content ya Tangazo na picha ilowekwa inanivuta kwa jicho la udadisi, kutaka kujua aliyesanifu na kuhariri tangazo walikuwa sawa...
1 Reactions
2 Replies
17 Views
Kiukweli kama deni basi ni lile tazamio kwamba " Muda ukifika Tutawaahidi Kujenga Daraja la Ununio - Unguja" Ila tunamshukuru Rais Samia kwa kukamilisha miradi hii niliyoitaja waliyoianza na...
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,848,154
Posts
49,476,216
Members
666,600
Latest member
abuutz42
Back
Top Bottom