Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema “Baada ya kusikiliza kwa kina maelezo ya Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenari Venance Mabeyo aliyoyatoa Machi 16, 2024, nimeshawishika na ninawashawishi Wabunge...
13 Reactions
58 Replies
1K Views
Kabla ya Iran kutawaliwa katika mfumo wake wa sasa wa Ki- Ayatollah ilikuwa ikitawaliwa kwa mfumo aina fulani karibia na Ufalme hivi ambao watawala wake walikuwa wakiitwa Shah. Mashah wawili wa...
9 Reactions
69 Replies
2K Views
Nimeona nije na uzi maalum wa kupeana updates wa vita mpya inayotarajiwa kulipuka kati ya Iran na Israel muda wowote kuanzia sasa Inaonekana inayokuja mashariki ya kati itakua sio ya mchezo...
19 Reactions
1K Replies
60K Views
Hii ndio Safari aliyoipita Jenerali MUHOOZI KAINERUGABA Mtoto wa Rais wa Uganda Yowery Kaguta Museven hadi kuwa Mkuu wa Majeshi wa Nchi Hiyo 2000: Aliteuliwa kuwa Luteni wa pili, Kitengo cha...
8 Reactions
24 Replies
1K Views
Karibuni katika sehemu ya pili ya uchambuzi wa kina wa kesi ya Hatibu Gandhi na wenzake dhidi ya Jamhuri. Kesi iliyo na historia ya kuvutia na kusisimua sana, kesi iliyoficha mengi yasiyojulikana...
1 Reactions
10 Replies
43 Views
Nimewiwa kuuliza hili swala dunia inaenda less sana..kwa namna wanavyotupiana makombora hawa Israel na Iran inafikirisha sana. Sisemi kwa ubaya ila ikatokea dude limekosea njia mara gweee uelekea...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Kuna wakati viongozi wa CCM hujaribu kuwatukana watanzania matusi ya rejareja Ni nani atakayeamini hiki wasemacho kina Kinana? Jambo la mapato kuongezeka, ni kweli linaendana na uhalisia? Mimi...
5 Reactions
22 Replies
284 Views
Eti ndugu zangu Simba kwa mfano Kesho tena Simba mkafungwa 5 na yanga mtafanyaje? [emoji23][emoji23]
10 Reactions
57 Replies
670 Views
Boby Risky amehukumiwa kwenda jela kwa kosa la kukanyaga fedha ya Naira. Hakimu amemuondolea kipengele cha kulipa faini, ili aende jela moja kwa moja. Naona wali msaka long time, Sasa ame jaa...
20 Reactions
517 Replies
9K Views

FORUM STATS

Threads
1,846,893
Posts
49,433,753
Members
666,118
Latest member
cosmas obadia mafuru
Back
Top Bottom