Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Fuatilia yanayojiri wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya CAG na TAKUKURU kwa mwaka 2022/23, Ikulu ya Chamwino, Dodoma, leo Machi 28, 2024...
5 Reactions
73 Replies
2K Views
Wametua bana, mmeona pia mfuturishe bure uwanjani ili watu wajae mfanye yale mambo yetu. Cwezi vaa jezi ya Mamelodi lakini siwezi kushangilia ushindi wa Yanga hata iweje.
3 Reactions
16 Replies
365 Views
Mtakumbuka report ya CAG mwaka huu, ilitolewa wakati wa mfungo na Mama alikasirka sana akawatukana mafisadi Stupidy, hio ndio adhabu kubwa kabisa alio wapatia walio piga pesa za wajinga wa nchu...
0 Reactions
4 Replies
264 Views
CCM kama chama dola nchini Tanzania kimefanikiwa sana kujitengenezea upinzani wake na wapinzani wake ambao kwa uhalisia nao ni Ccm nje ya Ccm. Mmoja wao ni Mbowe na chama chake cha Chadema...
6 Reactions
37 Replies
546 Views
Zipo taarifa kwamba Serikali ya Tanzania imekataa ombi la Mohamed Dewji la kutaka kufunga kiwanda chake cha chai. Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amemuomba Bwana Dewji kufanya majadiliano na...
11 Reactions
129 Replies
5K Views
Yaani napalangana kuuza kangala na huku napiga kazi.. Kuna dada mmoja alinikuta kazini (Kapuni naliweka jina lake.) Aliponikuta kazini alikuja hajui kitu. Nikamfundisha kazi. Baada kujua kazi...
11 Reactions
74 Replies
2K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
120 Reactions
505K Replies
28M Views
Wadau nawasabahi. Kama mada ilivyo kumekuwa na utaratibu mpya kwa makanisa ya kiroho (haya ya watu binafsi kama Kanisa la Gwajima, Mwingira na mzee wa upako n k) kuwatangazia waumini wao kutuma...
3 Reactions
50 Replies
696 Views
Bila shaka sisi wapenda siasa tunajua kuwa kuna kijana mwenye umri wa miaka 44 ambaye anaweza kuibuka mshindi katika uchaguzi wa urais huko Senegali. Mitandaoni watu wanajadili kuhusu umri na...
1 Reactions
13 Replies
487 Views
Baada ya maradhi sugu, hakuna kitu kinachokosesha amani kama kuwa na madeni. Hili jambo linatia stress ya hali ya juu mno. Na mbaya zaidi ni kuwa stress hii inakufanya ushindwe ku focus kufanya...
12 Reactions
40 Replies
840 Views

FORUM STATS

Threads
1,840,266
Posts
49,195,506
Members
663,963
Latest member
Abel paschal
Back
Top Bottom