Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wakuu mdogo wenu nipo njia panda, naomba ushauri wenu. Mimi ni wanafunzi wa mwaka wa tatu hapa Duce na chukua bachelor of science with education biology na geography. (Umri wangu ni miaka 23)...
1 Reactions
5 Replies
15 Views
Kama kawaida sisi mashabiki wa Yanga sio watu wa kwenda uwanjani ni wazuri wa kelele barabarani na kwenye vijiwe. Wakati wenzetu Simba wakijaza uwanja kama kawaida yao sisi hatutajaza na tutakuja...
4 Reactions
24 Replies
442 Views
Hakuna kama mama magufuri alikuwa mushamba na dicteta Wakati wa magufuri ufisadi ulizodi lakini hakuna hate sent imeibiwa wakati WA mama magufuri ailikuwa hajiamini iala mama. Safi sana Musiwape...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Ndani ya miaka 3 ya Rais Samia,Mamlaka ya Anga imeanza Kuzalisha ndege zake za abiria yaani chartere plane Kwa kushirikiana na kampuni ya Schech ya Airplane Africa Limited ambapo Hadi Sasa...
1 Reactions
7 Replies
80 Views
Dereva katoka Gerezani akiwa na hasira gari limejaa milango hadi inataka kupasuka, Akasimama Faya watu wakawa wanamwambia kwa jinsi Gari ilivyojaa sana unatuumiza funga fungua fuata utaratibu...
16 Reactions
51 Replies
1K Views
Ni miaka 3 imepita tangu Rais Magufuli afariki. Ni jambo la kawaida, hasa siku ya maziko au wakati wa kutangaza kifo, kutolewa taarifa za kina za mazingira ya kifo cha marehemu, na kama pengine...
55 Reactions
135 Replies
5K Views
African presidents in a bus as they headed to Birmingham Palace in United Kingdom for the funeral service of the late Queen Elizabeth II on September 19, 2022. Your thoughts African hub
0 Reactions
2 Replies
11 Views
Wamekufa viongozi wengi wa nchi hii, lakini wakati wote Magufuli anaonekana kuongelewa kila mara na kila sehemu. Wengine wanasema angekuwepo tungekuwa nchi ya ahadi kwa sasa, wengine wanasema...
40 Reactions
274 Replies
4K Views
Wanabodi. Kama upo KATIKA mojawapo ya groups za madalali wauza magari utakubaliana nami kuwa wa miezi miwili Sasa kuna Kasi ya wamiliki WA magari kuuza Kwa Bei za chini sana. Sijui shida Nini...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Safari inaendelea. Vitisho. Haya ndiyo maisha yetu ya Kila siku. Mengine tumetoa Ripoti Polisi huko Kuna watu hawa miongoni mwa wengi. Yeye anaandika "Ben Saanane unachokitafuta ndani ya Serikali...
294 Reactions
2K Replies
187K Views

FORUM STATS

Threads
1,837,750
Posts
49,112,933
Members
662,991
Latest member
mr_fact_96
Back
Top Bottom