Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
915 Reactions
1M Replies
38M Views
Kuna taarifa kuwa mashabiki wa Simba kutoka Mbeya wamepata ajali maeneo ya Vigwaza Pwani, wakiwa njiani kuelekea Dar, kushuhudia mechi ya Simba na Ahly. Ajali hii imetokea baada ya gari lao...
2 Reactions
28 Replies
130 Views
Aisee hapa Lindi mvua mwaka huu imeamua inanyesha kila siku yaani kila kunapokucha tuko nayo ukifua nguo kwenye mvua hizi za kusi basi zitakauka Kwa siku tatu.
1 Reactions
2 Replies
3 Views
Habari wana theolojia. Mathayo, Marko, Luka na Yohana hawa walikuwa ni mashahidi wa macho waliopata kumuona na kumsikia Yesu Kristo, hata baadaye wakapata msukumo kupitia roho mtakatifu...
1 Reactions
15 Replies
322 Views
Hivi ingetokea kwamba mtu akifanya jambo kwenye mahusiano usilokubaliana nalo wewe, anafungwa jela au kutoa faini ingekuwa jambo gani hilo? Kifungo kwa muda Gani? Au faini shilingi ngapi? Kwa...
4 Reactions
5 Replies
49 Views
Kama ilivyo majumbani..maofisini au hata mtaani lazima kila mtu kuna watu anaowapenda (admire) zaidi ya wengine na wengine huwapendi (disapprove of ..get disgusted with...dislike) kwa mambo...
31 Reactions
813 Replies
32K Views
Nimefuatilia kwa umakini hafla ya kusaini mkataba wa ujenzi wa jengo la abiria Mwanza linalokusudia kuifanya Mwanza Airport kuwa International ifikapo desemba 2024. Kwenye maelezo ya Bw Mbura DG...
1 Reactions
2 Replies
47 Views
Watanzania wenzangu mtakumbuka kwamba 4 March 2024 niliripoti kuhusu uwepo wa mgodi wa siri huko Singida - Tabora baada ya kupewa taarifa na mmoja wa wachimbaji wadogo. Timu yangu ilifanikiwa...
23 Reactions
87 Replies
4K Views
Je, Mungu ni muweza wa yote? Kama jibu ni ndiyo, basi tukubali mema na mabaya yote yake, yote mema na mabaya yanayo endelea ulimwenguni kote yeye ndio muhusika. Ukiona unamchagulia yapi anafanya...
13 Reactions
96 Replies
1K Views
Video hui inaonesha mtu akichapwa fimbo huku akiambiwa "Hapa si bara" sababu za kuchaowa nazo ni kwa kuwa amekula mchana chakula wakati wa Ramadhani. Hivi Zanzibar, mnawachukuliaje watu wa bara...
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,840,479
Posts
49,202,917
Members
664,031
Latest member
G 1
Back
Top Bottom