Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Licha ya kiswahili kuzaliwa katika pwana ya Afrika mashariki, na kuzungumzwa zaidi Tanzania kuliko Mataifa yote. Kiswahili fasaha bado ni changamoto katika ukanda wa pwana ya Tanzania na visiwa...
2 Reactions
71 Replies
553 Views
Akichangia bungeni leo mbunge machachari wa CCM anasema umefika wakati sasa viongozi kama mawaziri, wakurugenzi, makatibu wakuu,wakuu wa mikoa na wilaya wapatikane kwa kuomba nafasi hizo na...
7 Reactions
27 Replies
523 Views
Ndio nilikua nimemaliza tu chuo kikuu, na nilikua na kiasi cha tsh laki5 tu, cash in hand, fedha ambazo nilikua nikijibana bana na kudunduliza nikiwa chuo kwa madhumuni haya haya ya kugombea...
22 Reactions
207 Replies
3K Views
Wanajamvi nimefuatilia kwa karibu Ziara zote mbili za Chama cha Mapinduzi zilizofanyika hivi karibuni,ya kwanza ni ile ya Mwenezi Mstaafu Makonda peke yake akiwa na Serikali aliyoita Back to Back...
4 Reactions
19 Replies
525 Views
Vyote vilikuwa ni vifo vya ghafla sana. Mafisango alifariki kwa ajali ya gari, Kanumba kwa kubamizwa ukutani na Magufuli kwa mshituko wa moyo. Hawa wote walikuwa ni majabali kwenye fani zao...
3 Reactions
54 Replies
1K Views
Habari zenu wadau. Wote tunaamini kua kuna mambo mengi sana ya kisiasa, elimu, sayansi, geografia, na maarifa mengine mengi tu ambapo kwa namna moja au nyingine mtu unakua hujapata fursa ya...
33 Reactions
2K Replies
341K Views
ON SALE (DMN) - Price 13.8ml PREMIO ON SALE ¥ 0768160670 Color 🖤 SILVER MWAKA * 2006✓ Engine 1790 Low mileage New tyre Clean sana 0768160670 EXCHANGE ALLOWED
0 Reactions
0 Replies
5 Views
Hi! Wakuu nafanya mazoezi ya gym almost miaka kumi now, Kuna mazoezi nayapenda zaidi ni squat ,na mengineyo, Squat napendelea kwa lengo niwe fit haswa pia kwajili ya self defence na afya...
4 Reactions
49 Replies
527 Views
Ndugu wanaMMU, naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha wala kuwapotezea muda. Baada ya kuona idadi ya single mothers inazidi kuongezeka kila kukicha, nimeshawishika kufungua uzi maalumu...
6 Reactions
64 Replies
783 Views
Hakuna aliyesahau kwamba Waliopitisha Kikokotoo kwa kishindo ndani ya Bunge ni Wabunge wa CCM , Akiwemo huyu anayeitwa Musukuma, meza ziligongwa nusura zitoboke kwa kushangilia kikokotoo. Sasa...
15 Reactions
71 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,846,859
Posts
49,432,298
Members
666,094
Latest member
Nivan
Back
Top Bottom