Habari ndugu wanaJamiiForums, Rejea kichwa cha mada chausika. Mimi nina mgonjwa hospitali ya wilaya mkoa wa Kagera, kila dawa tunayoandikiwa na daktari, tukienda famasi hawana.
Lakini wagonjwa...
Kesho Ni ijumaa kuu kwa kifupi Ni njia ya msalaba bwana yesu wetu kristo alipitia ktk mateso yake
Najuwa hatutakula nyma kabsa je Ni hatari na haramu nikila samaki
Msaaada naombeni
Vinapitaga hapa mida ya saa Moja 30' Hadi saa mbili Kila siku.
Kimoja kina mwanga kina ulingo kuzungukia.
Kingine kinafanana na stelite kina Kingo kama ngazi za helicopter.
Hivi kwa karne hii ya sayansi na teknolojia mtu anaweza akapanda ndege kwenda kwenye chimbuko la dini yake na matalasimu vibuyu na tunguli ili akafanye uganguzi?
Tena wateja naona watakuwa ndugu...
Ndoa ya Nyota wa zamani wa Chelsea na timu ya Taifa ya Cameroon, Geremi Njitap ipo katika mchakato wa talaka baada ya kubainika Watoto Mapacha waliozaliwa Mwaka 2008 miaka minne kabla ya kufunga...
Tangu nizaliwe sijaona mwanamke anaupwiru kama huyu. Yaani ukitua kitandani tu mikono mwilini anataka show. Ukipiga show ya kawaida. utakuta bado anakupapasa hapo ujue ushavurunda.
Ukimpiga show...
Bandari imeshindikana Hadi mmewapa DP world!
Sasa na mabasi Tena jamani!!?haya mabasi ya mwendokasi TU haya yamewashinda serikali!!?yaani nchi imeshindwa kusimamia mabasi TU yaani imeshindwa...
Daktari Magufuli aliwaachia madaktari waamue kuhusu chanjo ya Corona lakini Dr. Samia alihamasisha tena kwa kuchoma hadharani.
Dr. Magufuli hakusafiri sana nje ya nchi na kuwaachia mabalozi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.