Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Leo mnamo majira ya saa 3 usiku Klabu ya Tanzania Simba Sports Club itakuwa nyumbani kumenyana na klabu ya Al Ahly ya Misri katika mechi ya mkondo wa kwanza (First Leg) wa robo fainali wa Ligi ya...
21 Reactions
2K Replies
31K Views
Taifa la Mungu wakati tukijiandaa kusherekea Pasaka siku ya jumapili. Wakirsto waliopo Zanzibar wapo kwenye mtihani mkubwa. Zanzibar kwa sasa ukila mchana unakamatwa na polisi na kuwekwa ndani...
64 Reactions
380 Replies
7K Views
Kuna jamaangu ni mkaguzi (auditor) na yupo kwenye vitengo humo humo kwa mkaguzi mkuu kanambia mambo mazito mno Kanambia ripoti ya CAG ilosomwa ni ya kawaida tu laiti ingesomwa ripoti halisi basi...
2 Reactions
1 Replies
50 Views
Ni maoni yangu kwamba mazimwi matatu yanayouzinga utawala wa awamu ya sita ni (Ukabila) Uzanzibari na Utanganyika, Udini na Jinsia kuliko ilivyo maendeleo ya kiuchumi na kijamii. Kama ilivyo kwa...
1 Reactions
3 Replies
84 Views
===== Kamishina Mkuu wa Ubia katika Serikali na Sekta Binafsi nchini ( PPP) Mhe David Zachari Kafulila amefafanua haya alipokuwa akihojiwa na Televisheni ya Globali, Mhe David Zacharia Kafulila...
15 Reactions
50 Replies
1K Views
Haya jamani mpo?? Sasa ni hivi Bashite hajabadilika hata kidogo. Kumbukeni mwaka jana kulikuwa na story kubwa ya Bashite kung’ang’ania nyumba aliyompora GSM kipindi cha Magu? Kama mnakumbuka hata...
14 Reactions
76 Replies
3K Views
Habar JF, Nilichokiona uwanja Wa Taifa Al Ahly asipeleke Timu Yaana anainda Kufungwa goal 4+ Simba sc wameimaliza hii Mechi Kikatili mno Al Ahly hawana cha kukwepa Zaidi Ya Kutoingia Uwanjani...
10 Reactions
62 Replies
3K Views
Polisi zanzibar ni waongo sana, hakuna sheria yoyote Zanzibar inamkataza mtu kula wakati wa ramadhani. Miaka ya nyuma kesi zote zilizopelekwa mahakani mashitaka yalisomeka tofauti, badala ya...
3 Reactions
8 Replies
193 Views
Wakuu salaam, Tofauti na mama yako na mke wako wanawake wengine wote achana kujifanya kuwasaidia wanakuchora tu. Wanawake ni viumbe wabinafsi kuliko viumbe wengine wote chini ya mawingu mpaka...
177 Reactions
1K Replies
59K Views
Kamishina wa PPP Mhe David Kafulila anasema "Wakati Rais Samia anaingia madarakani Uchumi wa Tanzania ulikuwa US$ 66BL Leo ni US$ 85BL sawa na ongezeko la US$19 wakati deni la nje ni US$ 5BL tu.
12 Reactions
143 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,840,814
Posts
49,214,999
Members
664,092
Latest member
Mwivano Kaoneka
Back
Top Bottom