Zipo taarifa kwamba Serikali ya Tanzania imekataa ombi la Mohamed Dewji la kutaka kufunga kiwanda chake cha chai.
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amemuomba Bwana Dewji kufanya majadiliano na...
Fuatilia yanayojiri wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya CAG na TAKUKURU kwa mwaka 2022/23, Ikulu ya Chamwino, Dodoma, leo Machi 28, 2024...
Full name: Arsenal Football Club
Nickname(s): The Gunners
Founded: 1 December 1886
League: Premier League
Website: arsenal.com
Ground: The Emirates Stadium, (Capacity: 59,867) - Pitch...
Hivi kwa karne hii ya sayansi na teknolojia mtu anaweza akapanda ndege kwenda kwenye chimbuko la dini yake na matalasimu vibuyu na tunguli ili akafanye uganguzi?
Tena wateja naona watakuwa ndugu...
Nimemsikiliza CAG Ikulu Dodoma wakati wa kuwasilisha report yake Kwa Rais nimeshtuka sana.
Moja ya sababu alizozitaja za NHIF kupata hasara ni wastaafu kutibiwa bila kuchangia.
Sasa swali langu...
Kocha Mkuu wa Simba SC, Abdelhak Benchikha amesema vijana wake wapo tayari kwa mchezo wa kesho dhidi ya Al Ahly na wanahitaji kupata mabao mengi nyumbani, ili kujitengenezea mazingira mazuri...
kaka habari yako pole na majukumu,nakuomba uni postie hili Jambo linanisumbua Sana naomba nipate ushauri wa watu wengi moyo wangu upone lkn naomba unifichie jina langu..
Kaka sasa liko ihvi...
Wakuu,
Kama mnavyojua, ATCL kila mwaka inapata hasara. Mfano mwaka uloisha 2022/2023 imepata hasara ya Bilioni 56.
Hii BIlioni 56 ni Madara au Hospital ngapi? Ingesambaza maji Vijiji vingapi...
Mkaguzi Mkuu na Mdhibiti wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere amesema Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) kwenye mwaka wa fedha 2022/23 limepata amebaini hasara hasara ya Sh56.64 bilioni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.