Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Sio watu wa mdomo mdomo mtupu.NI watendaji na wenye juhudi tena katika ya wakati mgumu. Ni watu wanaomtukuza Mwenyezi Mungu hata wakijua kuna binadamu anasababisha mateso yao. Wakipigwa...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Uzi maalum wa kuzikimbuka timu mbali mbali zilizowahi kutamba miaka ya nyuma na nyinginezo zilifika hadi ligi kuu. Taja timu moja tu umor nafasi na mwenzako ataje anayoijua. Mimi naanza na...
2 Reactions
93 Replies
3K Views
Ni Muda mwafaka tanroad kuifungua Barabara ya makambako hadi mlimba kuungana na iliyotoka Ifakara kwa ni wananchi wengi kipande hichi wamekuwa wakitumia treni kama ndo usafiri wao na kwanini...
4 Reactions
13 Replies
230 Views
JAJI MKUU KUONGEZEWA MUDA NI SAHIHI KIKATIBA Tarehe 22 Septemba, 2023; Mahakama Kuu (Masijala Kuu) Dar es salaam ilitoa uamuzi katika shauri la Kikatiba Na. 07/2023 baina ya Humphrey Simon...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuna mahali nimepita, mazungumzo niliyo yakuta yakiongelewa kuhusu Bw. Robert Mushi maarufu kama Babu G, ninashauri iundwe tume huru kuchunguza kifo chake. Katika tume hiyo,polisi isihusishwe...
8 Reactions
17 Replies
364 Views
  • Sticky
Full name: Chelsea Football Club Nickname(s): The Blues, The Pensioners Founded: 10 March 1905 League: Premier League Website: ChelseaFC.com Ground: Stamford Bridge, (Capacity...
154 Reactions
121K Replies
6M Views
Kuna watu humu walianzisha mahusiano kwa mbwe mbwe sana, mpaka sisi ambao hatukuwa na mahusiano tukajiona labdo dunia hii sio sehemu yetu sahihi ya kuishi. Ilikuwa kila sehemu wakipitia nyuzi...
39 Reactions
795 Replies
15K Views
Duuh! Watu wapo mbali angalia machatu hapa chini Sisi kinyoka kimoja tu mpaka wachungaji na masheikh kukiombea🤡 Bado tupo nyuma sana inabidi tukimbie
34 Reactions
116 Replies
3K Views
Jamii nyingi hii kitu ilikuwa ni laana Bukoba uliweza kufunkuzwa kabisa nyumbani. jamiii zingine waliwaua kabisa waliozalia nyumbani siku hizi mmeboresha kabisa na kuwapa jina la kizungu-single...
4 Reactions
10 Replies
75 Views
Katika utambuzi wake huo Jamaica imesema imefanya hivyo kwa kutekeleza maazimio ya umoja wa mataifa na kanuni za usawa na kuheshimiana. Kilichoisukuma kufanya hivyo ni vita vinavyoendelea Gaza na...
0 Reactions
1 Replies
30 Views

FORUM STATS

Threads
1,848,046
Posts
49,472,938
Members
666,572
Latest member
Binta Maso
Back
Top Bottom