Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Swali ni kama linavyojieleza hapo juu. Naomba maoni yenu ya Kijamii na kimaadili limekaaje hilo suala yaani kuwanunulia na kuwakabidhi moja kwa moja. Karibuni.
7 Reactions
93 Replies
2K Views
Jamani out of nowhere tu TV yangu aina ya Skyworth imezingua na kuzima na ukiwasha inaanza kisha kuzima tena; Fundi kaja ananiambia iyo internal system yote inabidi ibadilishwe 180k; yaani mafundi...
1 Reactions
23 Replies
256 Views
Maagizo ya Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Slaaa yameanza kutekelezwa kikamilifu ambapo Viongozi na Maafisa wa Wizara yake wamepiga kambi tangu jumatatu ya tarehe 8 Machi 2024...
0 Reactions
1 Replies
66 Views
Kama ilivyokawaida sisi tusiotishwa na propaganda mbalimbali huwa tunafanya utafiti kwanza kabla ya kuanza kupiga kelele. Leo nitaanza kuielezea Iran kuhusu Historia yake, Maendeleo yake na hali...
11 Reactions
121 Replies
2K Views
Nimerudia mara kadhaa kuangalia kwa umakini tukio lilitokea kwa yule binti ambaye ni afisa usalama kwenye convoy ya Mh. Rais akimpoka kikapu shemasi wa zamu pale kanisani. Yawezekana yule binti...
4 Reactions
29 Replies
712 Views
Wakuu, Kuna vimesemo na vijimaneno huwa vinazuka na kubamba na kisha kupotea baada ya muda. Unakumbuka msemo gani uliobamba sana na kusepa na kijiji? Tupia hapa na watoto 2000 wapate vya...
1 Reactions
5 Replies
70 Views
Waziri wa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amesema katika mwaka 2024/25, TAMISEMI imepanga kutumia shilingi bilioni 190.57 kwa ajili ya ununuzi wa magari ya Viongozi wa Mikoa na Wilaya, kuendelea na...
1 Reactions
17 Replies
462 Views
Mhe. Wenje sisi wananchi wa Rorya tunakuhitaji sana Jimboni Rorya na Jimbo litakuwa wazi Oktoba, 2025. Mhe. Mbunge ameshindwa kutuletea maendeleo na mfano hai barabara ya kutoka Mika mpaka...
0 Reactions
2 Replies
92 Views
Ni vyuma vya pelleting machine vimeshika sana kutu hivyo nataka kuvirudisha kwenye hali yake ya kawaida
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Msimu wa 2024/2025 kutakuwa na mashindano ya African football league na CAF champions league. African football league itahusisha timu 24 ambazo zitatoka kwenye zone tatu kulingana na rank zao za...
9 Reactions
39 Replies
981 Views

FORUM STATS

Threads
1,845,977
Posts
49,402,764
Members
665,795
Latest member
shilax jr
Back
Top Bottom