Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Tokugawa Shogunate... Kuna haka ka-Miniseries kametoka kwenye Chanel ya FX, watu mitandaoni wamekua wakiifananisha au kusema kwamba imezidi ubora GOT. Binafsi nimeitazama hii series nakubali...
1 Reactions
67 Replies
843 Views
Alhamisi, Aprili 25, 2024 Shirika la Hifadhi za Taifa (Tanapa) linajenga Hoteli ya Kitalii ya nyota tano wilayani Chato, mkoani Geita, yenye lengo la kuvutia watalii katika hifadhi za mwambao huo...
0 Reactions
3 Replies
12 Views
Baada ya maji kuwasomba watoto na kuwauwa kule Arusha nilijua serikali ingeona nini kitatokea, na sasa wanasema itachukua wiki mbili kunyesha kwa kiwango kikubwa namna hii na watoto wa kitanzania...
3 Reactions
12 Replies
225 Views
Muda huu maeneo ya kwa shungu, katindiuka, na mbasa yamefurika maji. Mamia kadhaa ya watu wameyakimbia makazi yao.
2 Reactions
72 Replies
3K Views
Wakubwa ni habari za wakati huu... Naombeni ufafanuzi wa biashara au fursa za biashara zilizopo maeneo ya mipakani mwenye utaaramu au amewahi kufanya biashara yoyote maeneo ya mipakani tafadhali...
3 Reactions
40 Replies
660 Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
40 Reactions
50K Replies
3M Views
Kama ilivyo kwa upande wa wanaume kujichua ila wanaume unakua pekeyako. Kwa wanawake ni tofauti ni lazima wawe wawili waweze kugusanisha vikojoleo vyao. Na wakiulizwa sababu ya wao kufanya hivyo...
0 Reactions
3 Replies
56 Views
Mimi ni: Kujana: 35 Sija wahi kuoa: Sina mtoto: Mjasiria Mali: Nina shahada ya kwanza. Niko, Ilala, DSm. Sina kitambi , mrefu wa wastani. Dini : mkristo. Sifa za mke mtarajiwa Awe: Mzima wa...
9 Reactions
83 Replies
924 Views
Wengi huwa wanapata shida kujua utofauti wa haya maneno hususan pale unaponunua bidhaa na kukuta nyingine imeandikwa 'Made in UK, nyingine 'Made in England' nyingine 'Made in Great Britain'. Sasa...
35 Reactions
52 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,848,371
Posts
49,484,084
Members
666,712
Latest member
MC-MCHOKOZI
Back
Top Bottom