Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Eti? Unarudi nyumbani unakuta watoto wanatazama katuni zao kwa raha zao, au tamthilia pendwa za kike..... unawezaje kubadili chaneli bila kuonekana katili? Tuseme muda wa Taarifa ya Habari, au...
7 Reactions
41 Replies
312 Views
Baada ya kumsikiliza kocha wetu, mbabaishaji Miguel gamond katika mkutano na waandishi wa habari, Nimejikuta nimekata matumaini ya timu Yangu kushinda mchezo wa kesho dhidi ya kabayelo...
2 Reactions
12 Replies
258 Views
Habari wana theolojia. Mathayo, Marko, Luka na Yohana hawa walikuwa ni mashahidi wa macho waliopata kumuona na kumsikia Yesu Kristo, hata baadaye wakapata msukumo kupitia roho mtakatifu...
11 Reactions
227 Replies
2K Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
916 Reactions
1M Replies
38M Views
Jana nilibahatika kushiriki Futari ya pamoja huko Rombo Nilichokiona sikuamini uislam unakua kwa kasi sana pande hizo Moshi misikiti inamea kwa kasi sana huku Rombo pakiwa ni mfano wa kuigwa...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Stephen Aziz Ki na Djigui Diarra bado sijawaona kambini na walipaswa kuwa wamerejea kutoka kwenye majukumu yao ya timu zao za taifa” - Kocha Miguel Gamondi, Yanga Afrika. Yapi maoni yako??
1 Reactions
52 Replies
2K Views
Nimesikitishwa na hali inayoendelea Zanzibari kukamata watu wanaokula mchana nakupewa kipigo hali hii imekuwa inajitokeza kila mwaka mwezi huu wa ramadhani Kilichonisikisha mwaka huu vyombo vya...
0 Reactions
14 Replies
194 Views
Sisi watu tuna akili ndogo. Kwa nini hawa wakoloni hawakulazimisha elimu kwa jamii yetu lakini wakalazimisha dini ? Kwa malengo gani hasa tuzidi kuwa wapumbavu ? Mwafrika mweusi mwenzangu...
4 Reactions
12 Replies
69 Views
Taifa la Mungu wakati tukijiandaa kusherekea Pasaka siku ya jumapili. Wakirsto waliopo Zanzibar wapo kwenye mtihani mkubwa. Zanzibar kwa sasa ukila mchana unakamatwa na polisi na kuwekwa ndani...
53 Reactions
330 Replies
6K Views

FORUM STATS

Threads
1,840,704
Posts
49,209,662
Members
664,076
Latest member
kingfj
Back
Top Bottom