Je, hizi ni carrier ( keria) tulizozoea kuziona kwenye mabasi ya zamani kwa ajili ya kubebe mizigo? Au ni kitu gani? Maana sote tunafahamu kwenye treni za kisasa hakuna hivyo vitu juu, huenda ni...
Ikiwa inakusumbua,ikiwa unataka kufahamu chochote kinachokutatiza.
Karibu
Nieleze kidogo kuhusu subwoofer
Je, unataka kununua, basi zingatia haya.
Zipo za aina mbili old model na digital. Siyo...
Habari za muda huu wapendwa.
Maisha ni safari ndefu sana yenye milima na mabonde.
Kuna nyakati unapitia Raha mpaka unajiona hapa duniani upo peke yako.
Kuna nyakati unapitia msoto mkali mpaka...
Magari ya umeme ndio future ya usafiri ilipangwa kwa sasa; hata wanaozalisha magari wengi wao wanaweka 'hybrid systems' ili hayo magari yaweze kutumika hata pale magari yenye sumu ya moshi...
Kufuatia kuharibika kwa pitch ya uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo kwa kiasi kikubwa, mechi iliyokuwa izikutanishe Jkt Tanzania dhidi ya Yanga Afrika imeahirishwa..
Taarifa zaidi zitafata
Baada ya kuwakanda Simba S.C katika mchezo uliopita wa ligi ya NBC, mabingwa watetezi na vinara wa ligi kuu, Yanga Afrika leo tena watashuka dimbani mida ya saa 10 kamili jioni kuzisaka point tatu...
Mlioko Mjini tujuzeni hali ya mvua huko niko Ubungo nakuja town
Ni hilo tu
Mbarikiwe!
======
TAARIFA KWA UMMA
YAH: Kufungwa kwa Njia.
Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka-DART unawaarifu...
Tulimaliza robo mwaka March, zile resolution zako ulizosema mwanzoni mwa mwaka utafanya hiki na kile, Mpaka sasa umefanya nini?
Umeaccomplish mikakati yako?
Mimi nilisema nitafanya savings, ila...
Kupitia ukurasa wake rasmi wa Twitter (x), Rais wa mmarekani JOE BIDEN amesema serikali yake inakusudia kupitisha dola bil. 7 kwa ajili ya kugharamia Sola 900,000 kwa ajili ya kaya maskini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.