Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Majuzi gari langu lilipata shida. Nilianza kupita maduka ya spea kutafuta spea za gari. Nilishangaa kuona taa tu ya baadhi ya magari zianauzwa hadi milioni 1.5. Tena si magari ya bei mbaya kwamba...
4 Reactions
9 Replies
255 Views
Maneno ya Mbunge Kigwangala kwamba kumsifia Rais ni uzalendo wa kwanza ni maneno ya kusikitisha yanayatuonyesha ni watu wa ajabu jinsi gani wanaotungoza wakati mwingine. Huyu ni mtu aliyekuwa...
1 Reactions
5 Replies
6 Views
Duuh! Watu wapo mbali angalia machatu hapa chini Sisi kinyoka kimoja tu mpaka wachungaji na masheikh kukiombea🤡 Bado tupo nyuma sana inabidi tukimbie
41 Reactions
141 Replies
3K Views
Huyu mbunge ameongea jambo la maana sana juu ya mstakabali wa nchi yake ya Zanzibar ila alicho ambulia mitandao ni matusi, kebehi na dharau juu yake na kwa Wazanzibari kutoka kwa...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Wasaalam! Leo imekuwa siku yangu ya kwanza tangia nizaliwe kupima ukimwi! Na kupata majibu! Aisee roho kidogo iache mwili! Nakumbuka Kuna siku nilinunua kipimo nikajipima Geto! Lakini kuangalia...
4 Reactions
15 Replies
406 Views
Hakuna ajuaye atakufa lini, ila kuna life style usipozingatia unajiwahishia mwenyewe kaburini, Tupac nilijua atauliwa tu baafa ya diss track ya Hit them up, Amina Chifupa alijua atakufa baada ya...
67 Reactions
167 Replies
7K Views
Kuna knowledge ndogo sana ila ni za muhimu sana, Usiku wa leo Mida ya saa nane hivi nilikua napita kwenye chocho fulani hivi, Ilikua ni njia ndefu iliyonyooka, upande wa Juu/ kulia ni ukuta...
60 Reactions
94 Replies
6K Views
Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imetambulisha rasimi huduma maalumu inayotambulika kama 'home-based care' ambayo itawawezesha wagonjwa wenye changamoto mbalimbali ambazo wamekuwa...
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,848,079
Posts
49,473,774
Members
666,582
Latest member
Johnbosco4256
Back
Top Bottom