Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
915 Reactions
1M Replies
38M Views
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
260 Reactions
156K Replies
4M Views
Nchi nyingi zenye mlengo wa uislamu au majimbo mengi ya nchi yenye mlengo wa uislamu uwa ni kitovu cha ugaidi na maeneo hayo usifika kwa kuzalisha makundi mengi ya Kigaidi. Sisemi tu kwa sababu...
32 Reactions
614 Replies
12K Views
Saizi huyu ni Senegal president na yeye ni first Lady....😊
15 Reactions
31 Replies
498 Views
Mwanamke myenye miaka 27+ na hajaolewa wanakuwaga na stress Sana, Kuna baadhi nawaonaga niliskuli nao na wengine tulikuliaga kitaa kimoja Wana waza Sana kiasi kwamba nawaonea huruma, zifuatazo ni...
1 Reactions
16 Replies
100 Views
Ni kubwa sana kiumbo, ikiwa kwenye hadhira, Ni Mamba kama wa Mombo, Sema ye hana madhara, Yakichambuliwa mambo, yatakutia hasira, Mamba huyu mamba gani, mbona hawezi kung'ata? Hukaa kimya...
6 Reactions
19 Replies
560 Views
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya. Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
112 Reactions
380K Replies
10M Views
🗓️ 27/3/2024 Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania UWT Mary Chatanda amewataka Wanawake nchini kuendelea kujitokeza kwa wingi kugombea nafasi mbalimbali za Uongozi katika Maeneo yao kuelekea...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Atten: RTO na LATRA mikoa ya Dodoma na Singida, basi la ISAMILO T863 DSB kutoka Dar es Salaam kwenda Mwanza, muda huu lipo Dodoma na limepakia abiria waliosimama zaidi ya 20. Cha ajabu basi...
0 Reactions
5 Replies
6 Views

FORUM STATS

Threads
1,840,348
Posts
49,198,379
Members
664,001
Latest member
Acciboy
Back
Top Bottom