INAUMIZA SANA KWA KWELI UNAPOONA WASOMI WAZURI ILA WANA HALI NGUMU KIUCHUMI.
Wazazi tuchukue tahadhari, Tusomeshe watoto sambamba na kuwaandaa waweze kujiajiri ama kufanya biashara...
Kifupi mimi ni team kataa ndoa, nilishakuwa huko mwisho wa siku nikaona ni UBATILI tu!
Mechi za hapa na pale huwa zinachezwa, maana wadada wa mjini cha msingi ni hela yako tu! Sasa kilichotokea...
Kuna idadi kubwa sana ya wakimbizi waliokimbia wakiarabu kutoka Sudan wakiwa mitaani wengine wamepanga.Lakini upande wa pili kuna wakimbizi majirani wamejazwa kwene makambi kigoma huko ka kagera...
JF team nimekutana na hii habari kwenye whatsap, naomba kwa mtu aliye karibu na maeneo ya huko Chemka atuambie kama ni kweli au ni uzushi? Naambatanisha na video na huo ujumbe unaozunguka
Kinga...
Wakuu kuna mambo huwa yanatokea unabaki unajiuliza ni mimi kweli yamenikuta. Kifupi nilikuwa sikuwahi waona kunguni mpaka umri huu zaidi ya kusikia story tu. Na akili yangu iliamini kunguni ni kwa...
Haya jamani,
Kuna kampeni inatembea duniani inaitwa self love.
Wale watafsiri wa lugha sanifu ya Kiswahili waje watuambie, self love ina maana gani? Kama una picha weka.
Hivi mtu unatokaje huna hata mia? Aibu nyingine zinaepukika kuwa na akiba ya hela yako binafsi ni muhimu sana. Hii inawakumba sana Ke wengi.
Back up plan ni muhimu sana.
Mwaka jana mwishoni niliexperience hio kitu, asikwambie mtu. Acheni mapenzi yawe kitu chenye nguvu kubwa duniani. Mimi nimekua nikiona watu wanalizwa na mapenzi, ila niliwachukulia wanyonge wa...
Niko Rukwa kwa kazi zangu za uandishi wa habari za mazingira siku 5 Sasa. Hapa naongea toka kijiji cha Kabwe wilaya ya Nkasi.
Hapa Niko Jimbo la Nkasi kaskazini Kwa Mbunge pekee wa kuchaguliwa wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.