Baada ya kuwakanda Simba S.C katika mchezo uliopita wa ligi ya NBC, mabingwa watetezi na vinara wa ligi kuu, Yanga Afrika leo tena watashuka dimbani mida ya saa 10 kamili jioni kuzisaka point tatu...
Ukiitazama na kuisikiliza hii video ya unabii huu toka kwa Mwl. Steven Jacob, toka Arusha, inafikirisha na kutafakarisha kiasi chake. Tazama na sikiliza👇🏻👇🏻👇
Kwa ufupi sana kwa wale wasio na...
Mlioko Mjini tujuzeni hali ya mvua huko niko Ubungo nakuja town
Ni hilo tu
Mbarikiwe!
======
TAARIFA KWA UMMA
YAH: Kufungwa kwa Njia.
Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka-DART unawaarifu...
Bila kupoteza muda ladies leo zamu yenu, hebu mtaje member wa kiume unayevutiwa naye… unaona kabisa huyu yupo kumtima. Na liwalo na liwe namtaja.
Wanaume tulieni muone mnavyopendwa na ukitajwa...
Maneno haya umeyasema kwa uwazi na ufasaha, fedha za kodi kwa maendeleo ni zetu wenyewe na tunapaswa kufanya juhudi kuzitafuta kwa bidii ili tulipe kodi tuendelee kama nchi.
Ndio maana kuna...
Habari zenu waungwana wa humu ndani,
Nina jambo lanitatiza sana, kila nikiishi pahali lazima nifatwe na Paka, yaani atokee Paka aweke kambi kwangu, nikianzia kwetu kwa wazazi alikuja kipaka...
Kwa hali ya mabando jinsi ilivyo kwa sasa kuna shida kubwa kwenye kudownload mafaili, kufa kufaana mwanangu! penye shida mpya huwa pana mlango wa fursa mpya.
Ttcl hasa kwenye majiji wanatoa...
Mnakosea sana, Mnjidanganya, Mambo hayendi hivyo.
Ulikuwa jambazi umeibia watu, wameshindwa kuendelea kwajili yako,
Ulikuwa mzinzi, umekuwa chanzo cha ndoa za watu kuvunjika
Ulikuwa muuaji...
Wengi wa vijana wa kijana wa kileo tumekuma tumekuwa tukifuata mkumbo tena na kushawishiana eti Kataa ndoa bila ya kujua umuhimu wa jambo tunalolipinga.
Miongozi mwa faida za ndoa ni pamoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.