Sakata la mchele wenye virutubisho kutoka Marekani limeendelea kuchukua sura mpya baada ya waislamu kuukataa bila kumumunya maneno. Wakiongea kupitia redio ya kiislamu ya Imaan FM inayounguruma...
Hivi ndivyo BBC wametoka mrejesho wa miaka 3 ya Rais Samia Madarakani wakielezea jinsi ameshindwa viunzi na kupata Matarajio kinyume Cha Wakosoaji ambao walitarajia atashindwa.
BBC wanasema Kwa...
Inasikitisha sana. Tumekuwa tukisikia walimu wakihusika kuwaua wanafunzi kwa vipigo na baadhi yao wameishafungwa gerezani na kuhukumiwa kunyongwa hadi kufa lakini huku mtaani nako hali si shwari...
Habari za muda huu
Naomba kujuzwa,kufahamishwa na kueleweshwa.
Je, ukiwa unatumia dozi ya pep unaweza kupata maambukizi ikiwa utakutana na mtu mwenye maambukizi..sina uhakika kama ana umeme ila...
Yanga wanaanza kuandamwa na majeruhi, wakitoa draw mbili na kufungwa mechi moja Simba anakuwa bingwa asipopoteza mechi hata moja, au yanga akipoteza mechi mbili simba akashinda zote basi Simba...
Muda mrefu ilielezwa kuwa Gaza ndio gereza kubwa la wazi duniani lililowafungia watu karibu milioni 2.5
Baada ya hilo mshauri wa mambo ya nje wa jumuiya ya Ulaya,Joseph Borell amesema eneo hilo...
Ndugu zangu Watanzania,
Nawaambieni ukweli kuwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri...
JF Salaam!!
Ninaposema Kanda ya ziwa bila shaka tiyari unakuwa umepata taswira yake.
Siyo kwamba mikoa mingine haijabarikiwa la hasha lakni Kwa Kanda ya ziwa Kuna neema ya pekee sana.
Hapa...
Ni miaka 3 imepita tangu Rais Magufuli afariki. Ni jambo la kawaida, hasa siku ya maziko au wakati wa kutangaza kifo, kutolewa taarifa za kina za mazingira ya kifo cha marehemu, na kama pengine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.