Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu ameingua Mjini Arusha tayari kuongoza Maandamano yatakayoanzia Manyara Lisu ameingilia mpakani Namanga Mlale Unono 😀😀😀😀
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
923 Reactions
1M Replies
40M Views
huku miundombinu mibovu, ripoti ya CAG inatisha, bajeti kujikita zaidi kwenye matumizi ya kawaida, kupeleka nguvu nyingi kwenye siasa za chama tawala na kusahau majukumu yao serikalini...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Tangu nilivyoanza kumpenda huyu mlimbwende wangu, ndani ya siku saba amenawili, anatabasamu zuri, ananukia vizuri, muda wote amekuwa na furaha anionapo mimi. Leo marafiki zake wakaribu...
15 Reactions
107 Replies
998 Views
Salaam, Shalom!! Nimefuatilia Kwa ukaribu jinsi waziri Jerry Slaa anavyofanya katika utatuzi wa migogoro ya ardhi, japo Bado ni mapema sana kusema kuwa anafanya vizuri, lakini Kwa sasa itoshe...
7 Reactions
52 Replies
580 Views
Maana feedback za wanaotafuta mchumba, mke au mume ni chache na nadra mno ukilinganisha na request za waungwana wengi sana kutafuta wenza humu ndani. Mathalani utakuta mtu kapost mke anatafutwa...
6 Reactions
81 Replies
383 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
511K Replies
29M Views
The Weekend - Out of Time
18 Reactions
3K Replies
66K Views
Mimi ni mkazi wa Dodoma, nimekuwa nikiagizwa sana na baadhi ya wadau hasahasa wale wa mbali na Dodoma na hata waliopo Dodoma,kuwatatulia matatizo mbalimbali ambayo hayawalazimu wao kufika huku...
59 Reactions
318 Replies
20K Views
Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali. Matokeo ya kura...
47 Reactions
257 Replies
6K Views

FORUM STATS

Threads
1,848,569
Posts
49,489,223
Members
666,766
Latest member
JBLEMUTZ
Back
Top Bottom