Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Anasema kipindi kilichopita kilikuwa na kikundi kinaitwa tusk force. TRA walikuwa wanafunga account za wafanyabiashara kwa kisingizio cha kukusanya kodi kwa kutumia Task force hivyo kufilisi...
8 Reactions
46 Replies
1K Views
Wakati serikali, wanaharakati na wapenda amani wakipambana dhidi ya kuenea kwa vitendo vya kishoga na kisagaji, mashabiki wa mambo ya ushoga na usagaji wameanza kuingiza vitendo hivyo hapa nchini...
2 Reactions
58 Replies
1K Views
Ndyo maana Mimi sera yangu ni ile ile tu ukitaka kuja Ghetoni kunitembelea nakuuliza Red Sea yako imefurika au bado?
4 Reactions
24 Replies
815 Views
Rais Samia anatarajia kuanza ziara ya siku 4 Nchini Uturuki tarehe 17/4/2024 Kwa Mualiko wa Rais huyo wa Taifa kubwa bwana Recep Yayib Erdogan. Huenda Samia ndio atakuwa Rais wa kwanza kufanya...
3 Reactions
15 Replies
417 Views
Kulingana na jinsi Kikokotooo kilivyo mwiba kwa wastaafu, huyu mbunge siyo Mtanzania. Mbunge amelewa mafao wanayolipwa wao kwa miaka 5 na kuwasahau watumishi wa umma wanaotumikia taifa kwa miaka...
13 Reactions
255 Replies
5K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
121 Reactions
509K Replies
28M Views
Swali ni kama linavyojieleza hapo juu. Naomba maoni yenu ya Kijamii na kimaadili limekaaje hilo suala yaani kuwanunulia na kuwakabidhi moja kwa moja. Karibuni.
5 Reactions
46 Replies
975 Views
Nimeangalia chati ya mishahara ya wachezaji wa Yanga nmeona Mzize analipwa laki 6 halafu Guede analipwa milioni 29 na laki 8, Aisee nmelia ndugu zangu KAMA NDIVYO ILIVYO basi hii ni dharau kubwa...
2 Reactions
47 Replies
1K Views
Kipindi cha Kikwete walipinga sana suala la Ufisaidi. Hili walilisimamia kidete kwa kweli tunashukuru lilisikika maana ni kweli lilitamaraki. Kipindi cha Magufuli chorus ilibadilika ikawa ni...
1 Reactions
6 Replies
70 Views

FORUM STATS

Threads
1,845,842
Posts
49,398,747
Members
665,732
Latest member
Magreth kivuyo
Back
Top Bottom