Kutoka kwa Emmaus Bandekile Mwamakula
Ndugu Watanzania!
Usiku huu tumeongea na mawakili wasomi Dickson Matata na Hekima Mwasipu ambao ni mawakili wa Malisa GJ na Mhe Boniface Jacob na tumejulishwa...
Salaam, Shalom!!
Nimefuatilia Kwa ukaribu jinsi waziri Jerry Slaa anavyofanya katika utatuzi wa migogoro ya ardhi, japo Bado ni mapema sana kusema kuwa anafanya vizuri, lakini Kwa sasa itoshe...
Alihudumu kama Waziri kwa vipindi vyote viwili vya JK kama Waziri wa Ujenzi kisha Elimu. Dkt. Shukuru Kawambwa ambaye baada ya kuwa Lecturer UDSM akagombea ubunge wa Bagamoyo.
Kwenye clip...
Andikeni maandiko yote lakn huyu striker anayefanana na striker wa zamani wa Tottenham Freddy Kanoute hana uwezo wa kuchezea Simba.
Freddy hamfikii hata robo yule striker mkenya wa Ihefu aitwae...
Habari njema hii imetufikia jana kutokana na mkutano wa mabaraza ya kikristo yanayoendelea duniani,
Aidha taarifa hizi nyeti zinafafanua kwamba kanisa kwa sasa linahitaji msaada kutokana na hali...
Wakubwa ni habari za wakati huu...
Naombeni ufafanuzi wa biashara au fursa za biashara zilizopo maeneo ya mipakani mwenye utaaramu au amewahi kufanya biashara yoyote maeneo ya mipakani tafadhali...
Habari zenu!
Bila kupoteza muda naiomba serikali itoe tamko kupitia wizara ya afya juu ya mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu (cholera). Baadhi ya vituo vya afya vimeshaanza kuzidiwa na wagonjwa...
Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali.
Matokeo ya kura...
Zoezi la utiaji saini mkataba wa kukarabati uwanja wa Uhuru uliopo Dar es Salaam baina ya serikali na mkandarasi kutoka China.
Ukarabati huu unatarajiwa kufanyika kwa muda wa miezi 12 na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.