Wasomi wengi wanajidanganya kwamba kuonekana civilized ni kuzaa watoto wa chache, Baba angu mdogo alikua na utani wa kutuambia kwamba unazaje watoto wawili we ni Mkristu? kumbe siku hizi hata...
Mimi ni mkristo, mpenda haki. Nimekuwa nikiwatetea sana wapalestina katika platforms za social media kote nilipo. Hakika kitendo kinachoonekana katika video niliyoambatanisha kimeniumiza...
Nilisha andika na kuandika !! Kweli kama Kuna watu washamba kwenye mabasi basi ni huku nyanda za juu kusini!! Kwa kifupi hawajielewi!!!
Nawasihi endeleeni kutukuta mbio za mabasi
Kama ilivyo majumbani..maofisini au hata mtaani lazima kila mtu kuna watu anaowapenda (admire) zaidi ya wengine na wengine huwapendi (disapprove of ..get disgusted with...dislike) kwa mambo...
Nimestushwa na kuogopa tena nikalazimika kuisoma Katiba ya Zanzibar mara mbili.
Leo Waislamu wa Zanzibar wanawavamia na kuwapiga vibaya Wazanzibar wenzao ambao sio Waislamu kwakuwa tu wanakula...
Video hii inaonesha mtu akichapwa fimbo huku akiambiwa "Hapa si bara" sababu za kuchapwa eti ni kwa kuwa amekula mchana chakula wakati wa Ramadhani.
Hivi Zanzibar, mnawachukuliaje watu wa bara...
Natoa onyo kwa Mamlaka zitakazoruhusu kuingiza siasa kwenye mechi za Simba na Yanga dhidi ya Wapinzani wao kuacha kufikiria jambo hilo.
Hatutarajii kwenye uwanja wa Mkapa kuona mabango ya...
Wakuu wasalaaaamu!
Huko Cairo kwenye makao makuu ya Club Al Ahly kumepamba moto, kocha Marcel Koller ameambiwa kuwa 'Afanye kila linalowezekana ili kumfunga Simba goli zisizopungua 3 mechi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.