Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kelele ni nyingi juu ya kinachoitwa matusi. Lakini je, tuna tafsiri sahihi ya tusi? Tusi ni nini? Ukifanya jambo la kipumbavu, halafu ukaitwa mpumbavu, linakuwa ni tusi au siyo tusi? Hayati...
14 Reactions
38 Replies
1K Views
Habari, wanajf kunabinti anatafuta kazi yeyote ila isiwe ya bar Umri wake ni 20 tu.picha nimewawekea hapo chini pia bila kusahau anapatikana geita huko.
1 Reactions
7 Replies
32 Views
Mzuka wanajamvi! Mji wa kisasa wa kitajiri unasifiwa kwa miundombinu bora duniani sasa hivi iko underwater mafuriko ya hatarii hadi shughuli zote kusimama. Hii ni baada ya mvua kubwa na dhoruba...
5 Reactions
21 Replies
365 Views
Mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali nchini zimeleta athari katika wilaya ya Karatu mkoani Arusha, baada ya baadhi ya nyumba kufunikwa na kuzingirwa na maji, hivyo baadhi ya wananchi...
0 Reactions
6 Replies
38 Views
Kabla chochote hakijafanyika wanaambiana. Hapa Iran anadai US anaomba Iran ijifanye kama inapigwa ili Israel ionekane iko vizuri au imejibu. Dunia ilipofika. Wawakilishi wa Iran, Russia...
3 Reactions
13 Replies
323 Views
PICHA: Padri Martin Luther Padre Luther alikuwa miongoni mwa Mapdre wenye karama nyingi ndani ya Kanisa Katoliki wakati wake, yeye alikuwa na Madai mengi sana juu ya mapungufu kwa kanisa. Hata...
44 Reactions
2K Replies
236K Views
Salamu wakuu, Kama mada inavyosema hapo juu nina shauku ya kujua mahali ambapo kuna madhehebu au sehemu ambayo kuna watu wanatoa elimu ya watu wasioamini uwepo wa Mungu nahitaji kujua maana nina...
2 Reactions
24 Replies
226 Views
Habarini wakuu Naomba tushirikishane kwa kutoa mawazo na maoni mbalimbali haswa kwa wenye ufahamu kuhusu hoteli za nyota tano, na pia wajenzi na wakandarasi ambao wana uzoefu wa kujenga majengo...
0 Reactions
4 Replies
19 Views
Wanabodi heshima kwenu wakuu! Nimesoma kwenye gazeti la mwananchi toleo la leo 16/04/2024 ukurasa wa 17, kuwa RAIS DR SAMIA atafanya ziara ya kikazi nchini Uturuki kwa mda wa siku 5 kuanzia...
8 Reactions
26 Replies
987 Views
Wakuu, long live to you all. Baada ya kutembeza kichapo kwa Israel hivi majuzi, kichapo cha baruti za matango hakika Iran imetuonyesha umwamba wake. Asilimia 99% ya balistic missile zote...
8 Reactions
26 Replies
569 Views

FORUM STATS

Threads
1,846,016
Posts
49,404,093
Members
665,809
Latest member
Edga wakota
Back
Top Bottom