Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kwa utafiti wangu mdogo hakujawahi kutokea matumizi mabovu ya lugha ya kiswahili kama muda huu tulionao. Kibaya zaidi hata baadhi ya vyombo vya habari vikubwa vinashiriki dhambi hii. Maneno...
14 Reactions
135 Replies
2K Views
Habari za muda huu....... Kumeripotiwa milipuko mikubwa kadhaa ndani ya Iran, Syria na Iraq.......... ==== Israeli missiles have reportedly hit the Iranian city of Isfahan Israeli...
7 Reactions
438 Replies
9K Views
Nimeona nije na uzi maalum wa kupeana updates wa vita mpya inayotarajiwa kulipuka kati ya Iran na Israel muda wowote kuanzia sasa Inaonekana inayokuja mashariki ya kati itakua sio ya mchezo...
19 Reactions
1K Replies
57K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
121 Reactions
509K Replies
29M Views
Niliwahi kuwa na mpenzi mmoja, kwa maelezo yake akawa anasema ana shida ya uzazi hawezi kushika mimba, basi nikawa natoka nae cha ajabu kuna siku anakwambia yuko siku za hatari so tusifanye. Basi...
13 Reactions
65 Replies
1K Views
  • Poll
INTRO Watu wengi wanaopenda kudadisi na kutafakari undani na ukweli wa mambo . Mara nyingi hugundua kwamba mfumo wetu wa maisha kiujumla una maswali mengi sana abayo hayana majibu kamili...
72 Reactions
4K Replies
245K Views
Eti ndugu zangu makolo ...Kwa mfano Kesho Tena makolo mkafungwa 5 na yanga....mtafanyaje[emoji23][emoji23]
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Leo napenda niwaambie sababu kubwa ya Israel kulindwa na mataifa ya magharibi na Baadhi ya nchi za kiarabu. Naweza kusema sababu kubwa ni Iman za Dini na mind set za watu hasa Waafrika sababu...
4 Reactions
27 Replies
357 Views

FORUM STATS

Threads
1,846,717
Posts
49,427,612
Members
666,043
Latest member
mkamburi kilasama
Back
Top Bottom