Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu amesema takwimu zinaonesha kuwa wanywaji wa pombe wameongezeka nchini hali inayofanya kuanza uhamasishaji wa kupunguza unywaji wa pombe. Takwimu alizotoa zinaonesha...
0 Reactions
3 Replies
4 Views
Mbunge wa Konde (ACT Wazalendo), Mohamed Said Issa ameitaka Serikali kurejesha upya utaratibu wa watu wote wanaoingia Zanzibar kuwa na hati ya kusafiria. Akichangia makadirio ya mapato na...
2 Reactions
23 Replies
275 Views
Nauliza tu wazee, Nimecheki kwangu CRDB naona maluelue tu hamna fedha. Vipi kwenu tayari?
1 Reactions
7 Replies
120 Views
Limenikera na naona linakuja kwa kasi sana likemewe na liachwe. Mfano UJANJA WA YANGA KUSHINDA nenda kwa keyboard upo kati ya G na I yaani Gamondi
2 Reactions
7 Replies
42 Views
Poleni Kwa majukumu wadau Kuna habari kuwa Rwanda imejipanga kuwapokea wakimbizi Toka ulaya. Ninacho dadisi ni je? Rwanda itafaidika kwa lipi?Nawasilisha
1 Reactions
16 Replies
98 Views
Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema “Baada ya kusikiliza kwa kina maelezo ya Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenari Venance Mabeyo aliyoyatoa Machi 16, 2024, nimeshawishika na ninawashawishi Wabunge...
45 Reactions
239 Replies
9K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
121 Reactions
510K Replies
29M Views
Ray kigosi aliwahi kusema wanakunywa maji mengi sana kubadili rangi ya ngozi, ni Maji haya ni yapi?
5 Reactions
16 Replies
370 Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
40 Reactions
50K Replies
3M Views
Nimekuwa nikikutana na maswali mbalimbali kuhusu dini au Mungu mfano Niliwahi kuulizwa matendo mema yaliumbwa na nani nikajibu Mungu aliumba mema. Nikaulizwa tena mabaya yaliumbwa na nani...
14 Reactions
207 Replies
5K Views

FORUM STATS

Threads
1,847,858
Posts
49,468,004
Members
666,455
Latest member
Dr Sifael Mk
Back
Top Bottom