Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habarini, Juzi kati nlitafakari kwanini utakuta binti mzuri tu mashallah, she is young, pretty, hana mtoto, unamfata unamtongoza anakukataa, unakubali maamuzi yake kiroho safi unaendelea na mishe...
4 Reactions
51 Replies
610 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
922 Reactions
1M Replies
39M Views
  • Poll
INTRO Watu wengi wanaopenda kudadisi na kutafakari undani na ukweli wa mambo . Mara nyingi hugundua kwamba mfumo wetu wa maisha kiujumla una maswali mengi sana abayo hayana majibu kamili...
74 Reactions
4K Replies
248K Views
Ni lipi jukwaa ambalo limekupa somo au shule ya maana, ushauri, maarifa, ufahamu na uelewa kutosha au kukukwamua juu ya masuala mbalimbali ya maisha, kisiasa, kiuchumi, kijamii, kitaifa na kimataifa?
4 Reactions
27 Replies
307 Views
5 Reactions
43 Replies
1K Views
Enzi hizo Sinza kila baada ya nyumba kadhaa unakutana na sehemu ya ulevi, iwe grocery flani hivi ama baa. Sinza ilikuwa na baa maarufu kama Hongera, B-Bar, Lego, Vatican City, Waungwana...
19 Reactions
135 Replies
5K Views
Duuh! Watu wapo mbali angalia machatu hapa chini Sisi kinyoka kimoja tu mpaka wachungaji na masheikh kukiombea🤡 Bado tupo nyuma sana inabidi tukimbie
26 Reactions
81 Replies
2K Views
Leo tukiwa kwenye kikoa Cha viongozi wa Casfeta hapa Mlimani, kikao kilianza Mida ya kumi na tulikuwa watu (viongozi kumi) wasichana sita na boys 4. Basi kipindi kikao kinaendelea nikatoka...
3 Reactions
4 Replies
110 Views
Habari za muda huu wapendwa. Maisha ni safari ndefu sana yenye milima na mabonde. Kuna nyakati unapitia Raha mpaka unajiona hapa duniani upo peke yako. Kuna nyakati unapitia msoto mkali mpaka...
22 Reactions
94 Replies
2K Views
Baada ya Uingereza kulazimisha kuhamisha watafuta hifadhi Rwanda, kwa maoni yangu naona kuna migogoro ya kiusalama itatokea kwa nchi zinazopakana na Rwanda. Ni namna Rwanda inataka kupanua nchi...
2 Reactions
6 Replies
201 Views

FORUM STATS

Threads
1,847,963
Posts
49,471,058
Members
666,531
Latest member
HilariCreator
Back
Top Bottom