Hii ndiyo nadharia inayosemwa inatakiwa kukubaliwa na kila binadamu na ndiyo nadharia inayoitwa na baadhi ya watu kuwa ni kamilifu na timilifu.
Kuwa hakuna ajue wewe binadamu umetokea wapi na kwa...
Ningependa kutoa somo la bure kwa wale ambao wanawaza jinsi gani wanaweza kuanza kuagiza bidhaa kutoka china.
Bidhaa hizi ni za jumla kwa ajili ya biashara.
Utaagiza moja kwa moja kutoka kwa...
Kwa wale ambao Huwa mnauliza wapi mnaweza kuwekeza na kufungua biashara basi sogezi siti.
Tanzania Ina Jumla ya Halmashauri za Majiji,Miji na Wilaya 184,kati ya hizo ni Wilaya 60 ndio Zina...
Nimeona wanaume wengi kwenye mitandao ya kijamii wakilalamika jinsi wanawake wa siku hizi wanavyopenda pesa, ukiwachunguza hao walalamikaji utagundua hawana hela Ila wanatamani kuoa. Hivi umewahi...
Lancefort Ltd ni kampuni iliyosajiliwa nchini Russia miaka kadhaa iliyopita, na kwasasa haifanyi kazi kwa kipindi kirefu baada ya watendaji wake kupotea gafla kwa mazingira ya kutatanisha.
Kutoka...
Pre-amble: Naongelea Dunia kwa Ujumla na Sio Nchi / Taifa
Ni kawaida kwenye Ubepari kutokea tatizo la overproduction; na hili likitokea wazalishaji wanapunguza uzalishaji jambo ambalo...
Mimi ni wakala wa voda na mitandao mingine pia kwa kutuma na kutoa hela
Leo nipo ofisini kuangalia kamisheni yangu nikakuta zaidi ya 50 elfu imekatwa
Moja kwa moja nikawasiliana na huduma kwa...
Hi!
Wakuu nafanya mazoezi ya gym almost miaka kumi now,
Kuna mazoezi nayapenda zaidi ni squat ,na mengineyo,
Squat napendelea kwa lengo niwe fit haswa pia kwajili ya self defence na afya,
Sasa...
Kwa mujibu wa jarida la Times limetoa orodha ya watu 100 wenye ushawishi zaidi duniani kwa mwaka 2024 tarehe 17, Aprili 2024. Orodha hii imejumuisha watu wanaoshughulika na sekta mbalimbali kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.