ni lipi jukwaa ambalo limekupa somo au shule ya maana, ushauri, maarifa, ufahamu na uelewa kutosha au kukukwamua juu ya masuala mbalimbali ya maisha, kisiasa, kiuchumi, kijamii, kitaifa na kimataifa ?
Bila kupoteza muda ladies leo zamu yenu, hebu mtaje member wa kiume unayevutiwa naye… unaona kabisa huyu yupo kumtima. Na liwalo na liwe namtaja.
Wanaume tulieni muone mnavyopendwa na ukitajwa...
Inaweza kukushangaza ila ndio ukweli, huo
December 14 mwaka 1999 uli tokea mlipuko mkubwa sana wa bomu la nyuklia,, mlipuko ulio angamiza zaidi ya 98% ya watu wote duniani, na hao 2% walio...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Mara baada ya kuchaguliwa kuwa mbunge Mheshimiwa January Makamba aliweka utaratibu wa wana Bumbuli kutoa kero zao
Lakini pamoja na kero hizo kutumwa hali ndio kama mnavyoona .
Jambo la...
Full name: Arsenal Football Club
Nickname(s): The Gunners
Founded: 1 December 1886
League: Premier League
Website: arsenal.com
Ground: The Emirates Stadium, (Capacity: 59,867) - Pitch...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Hili suala la AJIRA za TEUZI kwangu ni chanzo kikukuu cha umasikini maana tunakosa watu sahihi hali ya kuwa tunao hao watu.
Kwa mfano kuanzia CEO wa taasisi kama NIMR, NHIF , JKCI, MSD , TTCL...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.