Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Homa ya Kariakoo Derby inazidi kupanda, siku ya kumaliza ubishi imewadia. Leo jioni kuanzia saa moja miamba hii itakutana kutafuta point tatu muhimu kuendeleza marathon za Ligi Kuu ya NBC. Yanga...
24 Reactions
679 Replies
16K Views
Uzuri wa huu mchezo unafanyika hadharani kila mtu anaona, nani kifaa nani garasa. Aziz Ki ni mbovu, hana thanani ya milioni 400. Kifupi Yanga wameingia hasara ya milioni 400, yale ni manunuzi ya...
24 Reactions
1K Replies
66K Views
Jamani serikali ya ccm kuweni wasikivu kama mnavyojiita. Mpo tayari kuwanunulia wakuu wa mikoa na wilaya magari ya kifahari kwa sifa zipi au kazi ngumu zipi? Hayo mabilioni mgejengea barabara za...
5 Reactions
43 Replies
439 Views
Aliyekuwa Muigizaji wa tamthilia ya Zahanati ya kijiji Bi Ubwa amefariki leo tarehe 20/4/2024. Hakika sisi ni wa Mungu na kwake tutarejea
0 Reactions
16 Replies
325 Views
  • Suggestion
UTANGULIZI : Kumekuwepo na malalamiko mengi sana kutoka kwa watanzania kuhusu utendaji kazi wa maafisa wa serikali wakiwa ndani ya ofisi za Umma. Hii kero imekuwa ya muda mrefu na ambayo...
2 Reactions
7 Replies
709 Views
“Lipo jambo moja lilisemwa na Mpina, ni jambo nzito na ukilichukulia kwa wepesiwepesi unaona amezungumza kitu chepesi lakini mpina amezungumza kitu kizito” na ni lazima tukijibu kama Serikali...
6 Reactions
43 Replies
976 Views
Habari za muda huu wanajamii, Wahenga wanasema usilolijua ni usiku wa giza, kila mmoja wetu anapotarajia kupata jambo jipya au kuingia kwenye maisha mapya hujawa na shauku na mshawasha. Ndoa ni...
7 Reactions
248 Replies
2K Views
Mkuu wa mkoa wa Arusha mh Paul Makonda amewataka Wafanyakazi wa TRA wawatendee wema Wafanyabiashara kwa kuzingatia sheria na kujua Kuwa Hata wao ni Wafanyabiashara watarajiwa Makonda amewataka...
5 Reactions
15 Replies
262 Views
Mtangazaji Mahiri wa Clouds FM, Gadner G. Habash (50) amefariki Dunia Leo April 20, 2024. Gadner maarufu kama ‘Captain’ aliejizolea Umaarufu Mkubwa kupitia Kipindi cha Jahazi, alikua amelazwa...
45 Reactions
628 Replies
30K Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
103 Reactions
219K Replies
16M Views

FORUM STATS

Threads
1,847,059
Posts
49,440,930
Members
666,183
Latest member
gearbox
Back
Top Bottom