Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Sisi sote tu mashahidi jinsi katibu Mkuu CCM anavyoonesha dhahiri kupingana na Rc Arusha. Ni katika sakata la kuwataja wanaomuhujumu Rais. Katibu amekuwa na mafumbo na kejeli kwa mwenzie. Je...
8 Reactions
49 Replies
3K Views
Boby Risky amehukumiwa kwenda jela kwa kosa la kukanyaga fedha ya Naira. Hakimu amemuondolea kipengele cha kulipa faini, ili aende jela moja kwa moja. Naona wali msaka long time, Sasa ame jaa...
19 Reactions
297 Replies
7K Views
Hii live show ya Frida Amani ni ya level za kimataifa sana. Msanii gani mwingine anaweza kupiga live kwa level hizi? https://youtu.be/vamUjgmitOo?si=lkBx8muRD9w-b2ek
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Hakuna aliyesahau kwamba Waliopitisha Kikokotoo kwa kishindo ndanibya Bunge ni Wabunge wa CCM , Akiwemo huyu anayeitwa Musukuma, meza ziligongwa nusura zitoboke kwa kushangilia kikokotoo. Sasa...
5 Reactions
16 Replies
60 Views
  • Sticky
Full name: Liverpool Football Club Nickname(s): The Reds Founded: 3 June 1892 League: Premier League Website: LiverpoolFC.com Ground: Anfield, (Capacity: 54,074) - Pitch 101m x 68m...
123 Reactions
142K Replies
7M Views
Kabla ya Iran kutawaliwa katika mfumo wake wa sasa wa Ki- Ayatollah ilikuwa ikitawaliwa kwa mfumo aina fulani karibia na Ufalme hivi ambao watawala wake walikuwa wakiitwa Shah. Mashah wawili wa...
6 Reactions
29 Replies
795 Views
Nimeona wanaume wengi kwenye mitandao ya kijamii wakilalamika jinsi wanawake wa siku hizi wanavyopenda pesa, ukiwachunguza hao walalamikaji utagundua hawana hela Ila wanatamani kuoa. Hivi umewahi...
11 Reactions
49 Replies
408 Views
Huyu ni msanii mkubwa ulimwenguni, je umemtambua kuwa ni nani?
1 Reactions
9 Replies
304 Views
Mimi kwangu ukiniuliza the first genius president kuwahi kutokea kwenye ardhi ya Tanzania, in good spirit nitamtaja JPM. Mpaka leo bado najiuliza yule MSUKUMA aliwezaje wezaje! Tukiri kuwa kwa...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Shoga maarufu kutoka pande za +234 , Idris okuneye(28), maarufu kama BOBRISKY, ndiye staa shoga aliyeamua kujiweka wazi nchini Kwao kwa kuvaa na kuishi kama mwanamke, unaambiwa hutumia mamillion...
1 Reactions
194 Replies
65K Views

FORUM STATS

Threads
1,846,659
Posts
49,425,196
Members
666,019
Latest member
Choppa nle
Back
Top Bottom