Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Harmonize sio authority yoyote katika uislamu. Harmonize alisha ukana uislamu kwa vitendo tangu alipo ingia kwenye kazi ya muziki kwa sababu kwa mujibu wa mafundisho ya dini ya kiislamu muziki ni...
40 Reactions
166 Replies
3K Views
Waalimu wa siku hizi hadi muambiwe kuwa hali za maisha yenu sio nzuri!? Juzi tu hapo serikali imekuja na kikokotoo cha pensheni za watumishi mkiwemo nyie waalimu. Watu mnakatwa pensheni yenu na...
3 Reactions
15 Replies
625 Views
Binafsi najifunza programming just for fun and enjoyment ya kupata maarifa mapya. Nimeanza na HTML pamoja na CSS kadri siku zinavyoenda tutapeana updates ya jinsi darasa linavyoenda. Site...
2 Reactions
85 Replies
5K Views
Mzuka wanajamvi! Mji wa kisasa wa kitajiri unasifiwa kwa miundombinu bora duniani sasa hivi iko underwater mafuriko ya hatarii hadi shughuli zote kusimama. Hii ni baada ya mvua kubwa na dhoruba...
5 Reactions
31 Replies
365 Views
Mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali nchini zimeleta athari katika wilaya ya Karatu mkoani Arusha, baada ya baadhi ya nyumba kufunikwa na kuzingirwa na maji, hivyo baadhi ya wananchi...
0 Reactions
7 Replies
38 Views
Zaidi ya wananchi 1,000 wa Kijiji cha Namwangwa, Kata ya Hezya Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe, wamekosa huduma za afya kwa miezi mitatu sasa, baada ya tabibu anayehudumu kwenye zahanati ya kijiji...
1 Reactions
2 Replies
3 Views
Benki mbona kama hakuna usalama Tena.. Hivi hiii hali ya kupoteza hela benki inatokana na nini maana mimi naona kama hii hali imezidi sasa. Siku mmoja nimeingiziwa Benki pesa kama laki 5 hivi...
5 Reactions
9 Replies
148 Views
Kabla chochote hakijafanyika wanaambiana. Hapa Iran anadai US anaomba Iran ijifanye kama inapigwa ili Israel ionekane iko vizuri au imejibu. Dunia ilipofika. Wawakilishi wa Iran, Russia...
3 Reactions
15 Replies
323 Views
Tumugoje tumuleshe? Huo ndio msimbo wao, au password yao, ikiwa na maana "Tumuuwe au tumuache?" Hawa watu ni wagumu sana kwenye mahusiano, ni makatili sana na Wana roho ya ajabu kabisa. Mwanamke...
20 Reactions
128 Replies
4K Views

FORUM STATS

Threads
1,846,019
Posts
49,404,146
Members
665,810
Latest member
Edga wakota
Back
Top Bottom