Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Huu mfumo ndio ulikua tegemeo kubwa hata kwa wavaa dera Iran..... Ni dhahiri anayeutegemea amebaki uchi.... Kwa sasa mifumo ya Israel ndio mpango mzima, tukumbushiane haya matokeo Iran imepoteza...
0 Reactions
2 Replies
4 Views
Nimemsikia Musukuma jinsi anavyojenga hoja kwa kuuliza maswali kuhusu kikokotoo,ni wazi inaonesha hawa wasomi wetu ni matapeli tapeli na hawana msaada wowote kwa jamii. Ile tunaita emotional...
2 Reactions
7 Replies
296 Views
Mimi kwangu ukiniuliza the first genius president kuwahi kutokea kwenye ardhi ya Tanzania, in good spirit nitamtaja JPM. Mpaka leo bado najiuliza yule MSUKUMA aliwezaje wezaje! Tukiri kuwa kwa...
2 Reactions
21 Replies
332 Views
Wanoko wa CCM umewagalagaza kikweli kweli leo! johnthebaptist msikilize Mchungaji Msigwa na wapelekee ujumbe wenzako, maana umelikomalia la Uenyekiti wa Mbowe as if bila kumtaja Mbowe kwako ugali...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Anaitwa Single mtambalike. Nimeenza kumuona Tangu miaka ya 99 huko lakin mpaka Leo muonekano wake upo vile vile.. Asee Kaka rich emu njo utupe Siri ya kutokuzeeka au wewe. Ni clone
1 Reactions
28 Replies
941 Views
Hakika dawa ya mtu muongo huwa ni fupi sana. Kumekuwepo na propaganda chafu zikienezwa kwa makusudi na watu kutoka CCM kwa makusudi ili kuleta mpasuko ndani ya CHADEMA. Wanasema eti Msigwa...
4 Reactions
30 Replies
1K Views
Kuna unyanyasaji nilioushuhudia ubalozi wa Marekani nilipoenda kushughulikia visa. Kwanza pale getini, unaambiwa unaacha kila kitu huingii na chochote! Ila cha kushangaza, hawajaweka hata sehemu...
6 Reactions
35 Replies
2K Views
Kwa wadau wa siasa na upepo unavyoelekea, nimeona ziara za CDE Dkt. Nchimbi na CDE Makala hakika wanakusanya watu wachache sana na hawana hoja za mikutano na wala ajenda zao hazieleweki. Utasikia...
11 Reactions
80 Replies
3K Views
Rais Samia atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia, Kassim Seif Ndumbo
1 Reactions
22 Replies
816 Views
Taarifa ikufikie Popote ulipo kwamba, Uchaguzi wa viongozi wa ngazi ya Kitaifa wa Chadema utafanyika mwezi wa 10, 2024, hii ni baada ya kumalizika kwa Chaguzi zingine zote za Chama hicho katika...
4 Reactions
40 Replies
654 Views

FORUM STATS

Threads
1,846,685
Posts
49,425,880
Members
666,018
Latest member
Choppa nle
Back
Top Bottom