Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Muda huu maeneo ya kwa shungu, katindiuka, na mbasa yamefurika maji. Mamia kadhaa ya watu wameyakimbia makazi yao.
2 Reactions
92 Replies
4K Views
Hello Nimepita pita mitandaoni leo nkakutana na caption hapo chini, sasa najiuliza ni uchawi au ni nini, huyo sista na uzuri wote huo anakosa mwanaume mmoja tu wa kumuoa na kumuweka ndani, hadi...
1 Reactions
11 Replies
208 Views
Hivi hawa simba hawayajui maadili yetu ya Kitanganyika au kisirani tu? Mbona tulishaelezana sana humu kuhusiana na mila za kitanganyika mpaka tukaandika majarida! Video imewabamba simba dume...
2 Reactions
23 Replies
371 Views
Wewe fikiria utembeee mwaka mzima peku na kusafiri peku nani anaweza hilo? Mimi najuwa ili upate kibali kuna gharama za kulipia kibali hakiji hvhivi japo Kuna bahati pia.
2 Reactions
23 Replies
414 Views
"Kuna watu 34 wameweka maombi ambayo hayajalipiwa na hayana sifa ambapo kwa jumla wanashikilia eneo la ukubwa wa ekari 4,316,955 sawa na kuwa na mikoa ya Dar es Salaam 12, eneo lote hili limekaa...
2 Reactions
10 Replies
360 Views
1 - Saa 3 usiku hakuna daladala barabarani. 2- Saa 4 usiku huoni watu nje na usiulize kwanini. Jiongeze bro! 3- Ugali wa 1500 unapata mboga 7, usisahau uono (dagaa mchele) buree. 4- Ndio jiji...
4 Reactions
27 Replies
419 Views
Wapendwa habar zenu tafadhal Kwa anayejua kuhusu size za hizi foil anijuze Kwa undan zaid mfano naomba maelekezo ya hii size
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Shirika la Fedha la Kimataifa IMF liketoa orodha ya Nchi 15 Zenye Uchumi Mkubwa Barani Afrika huku Tanzania ikishika nafasi ya 9. Kwenye orodha hiyo Nchi ya Afrika Kusini imeongoza na kuzipita...
3 Reactions
79 Replies
947 Views
Naomba kufahamishwa sababu ya serikali kushindwa kuruhusu ujenzi wa vituo vya Gesi asilia kuenea nchi nzima. Nimeona wabunge wakilalamika bila kuadress issues haswa ni kwa nini Kuna vituo viwili...
1 Reactions
16 Replies
159 Views
Mambo, Katika pitapita zang humu jf nmegundua kuna unique sign za wana jf, hata ukikutana nae live au ktk social network nyingine kama Instagram utamjua TU huyu ni jf member, kwangu ninazozjua ni...
2 Reactions
20 Replies
190 Views

FORUM STATS

Threads
1,848,453
Posts
49,486,381
Members
666,743
Latest member
Dume Jembe
Back
Top Bottom