Natumaini wazima
Leo nawaletea recipe ya kupika samaki wa Nazi chukuchuku,wengine wanasema mchuzi ambao hauna mambo mengi
MAHITAJI
Samaki wabichi unaweza tumia pia wakavu...
Polisi wanaanza kuelewa kuwa upinzani siyo uadui!
Baadhi ya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa na mkoa wa Kagera wakiongozwa na askari polisi katika maandamano ya...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Ikiwa Mh Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ni Mnyenyekevu, Mtu mwenye hofu ya Mungu na anaheshimu lila mtu bila kujali Itikadai.
Tuwaombee Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa...
Mbunge wa Ilemela (CCM), Dk Angelina Mabula ameitaka Serikali kujenga uzio katika Shule ya Msingi Kitangili iliyopo mkoani Mwanza ili kuokoa maisha ya watoto wanaochezea kondomu katika uwanja wa...
Baada ya kuwakanda Simba S.C katika mchezo uliopita wa ligi ya NBC, mabingwa watetezi na vinara wa ligi kuu, Yanga Afrika leo tena watashuka dimbani mida ya saa 10 kamili jioni kuzisaka point tatu...
Ajira ngumu,
Kupoteza muda,
Kupoteza pesa ambayo kiuhalisia ungepata mtaji wa kuanzisha biashara.
Kuingia madeni yasio ya lazima, (mikopo)
Elimu haikidhi viwango vya mabadiliko ya kiuchumi na...
Bila kupoteza muda ladies leo zamu yenu, hebu mtaje member wa kiume unayevutiwa naye… unaona kabisa huyu yupo kumtima. Na liwalo na liwe namtaja.
Wanaume tulieni muone mnavyopendwa na ukitajwa...
Wakazi wa mbagala kiburugwa tunaomba serikali iwajibike ipasavyo, barabara hii ni kubwa sana ila ni mbovu haipitiki kipindi cha mvua na kikiwa kipindi cha jua kali ni vumbi na mchanga mwingi kiasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.