Nawasashuri tu vijana mnaojitafuta msidhani kwamba ukimpa kila kitu Pisi kali ya mjini ndio inakukubali.
Ikikaa pembeni na mashoga zake inakusema we ni Mshamba tu.
Sasa unakuwaje mshamba wakati...
Naifuatilia ziara yenu toka ilipoanza, hamna jipya kwa wananchi zaidi ya kupambana na Makonda kwa mafumbo, tulitegemea muisimamie vyema serikali yenu, hasa watumishi wazembe na wezi wa mali ya...
Hivi mtu unatokaje huna hata mia? Aibu nyingine zinaepukika kuwa na akiba ya hela yako binafsi ni muhimu sana. Hii inawakumba sana Ke wengi.
Back up plan ni muhimu sana.
Nimetafuta humu sikuona special thread kwa ajili ya series ila movies.
Kwa wale wapenzi wa series tujadili hapa series tulizoona na ilivutia,pia wengine ambao hatujui baadhi ya series tunaweza...
Kwa hapa Dar es Salaam mtu kama hupiki kwako ukitegemea kula migahawani basi utateseka sana, huku mitaani kukuta mahali wanapika vyakula vya kueleweka basi utazunguka sana.
Wengi wanapika vyakula...
Kuna habari zimetoka kuwa Azam wameweka million 400 mezani kwa Yanga wakitaka kumsajili Mzize.
Azam ni kichakani yaani sio mjini kwenye soka kwa maana Mzize hataonekana sana huko Ulimwenguni...
Kifupi mimi ni team kataa ndoa, nilishakuwa huko mwisho wa siku nikaona ni UBATILI tu!
Mechi za hapa na pale huwa zinachezwa, maana wadada wa mjini cha msingi ni hela yako tu! Sasa kilichotokea...
Nchi ya UAE inayounganisha na jimbo la Dubai ni miongoni mwa mataifa tajiri sana duniani.Kila kitu wamependelea kiende kiteknolojia hata pasipokuwa na umuhimu wa namna hiyo.
Maendeleo hayo ndiyo...
Wakuu kuna mambo huwa yanatokea unabaki unajiuliza ni mimi kweli yamenikuta. Kifupi nilikuwa sikuwahi waona kunguni mpaka umri huu zaidi ya kusikia story tu. Na akili yangu iliamini kunguni ni kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.