Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Bila kupoteza muda ladies leo zamu yenu, hebu mtaje member wa kiume unayevutiwa naye… unaona kabisa huyu yupo kumtima. Na liwalo na liwe namtaja. Wanaume tulieni muone mnavyopendwa na ukitajwa...
17 Reactions
1K Replies
9K Views
Utasikia fulani alikuwa jambazi hapo zamani kwa sasa kaokoka Fulani alikuwa tapeli sugu hapo zamani kaamua kuokoka Fulani alivunja ndoa za wengi hapo zamani kaamua kuokoka NONSENSE, UJINGA...
2 Reactions
11 Replies
87 Views
  • Article
Wakuu, Kuna video nilikutana nayo huko mtandaoni (nimeangalia sijaiona), huyo dada alikuwa anasimulia jinsi rafiki yake alivyokufa baada ya kung'atwa chura. Chura huyo alikuwa ndani ya kiatu...
0 Reactions
8 Replies
133 Views
Wakuu! Jamaa angu ka login kwenye account yake aliyotumia kufanya application za Muhas akakuta taarifa "ndugu '__' hujachaguliwa kujiunga na chuo Cha Muhimbili round 1" Hilo Jambo limeniogopesha...
6 Reactions
114 Replies
7K Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
922 Reactions
1M Replies
39M Views
MJADALA WA WACHANGIAJI M1 JF Jukwaa la Historia 2013 Yericko Nyerere (pichani) miaka 11 iliyopita alifungua uzi JF kwa nia ya kupinga historia ya uhuru wa Tanganyika kama nilivyoieleza katika...
6 Reactions
46 Replies
862 Views
Wengi wa vijana wa kijana wa kileo tumekuma tumekuwa tukifuata mkumbo tena na kushawishiana eti Kataa ndoa bila ya kujua umuhimu wa jambo tunalolipinga. Miongozi mwa faida za ndoa ni pamoja...
2 Reactions
4 Replies
47 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
121 Reactions
510K Replies
29M Views
miaka 30 ni mingi sana kukaa hapa duniani sio tu kukaa nyumbani ! inabidi uwe umesha leta impact... kuna watu kabla ya hiyo miaka walishafanya makubwa sana hadi sasa bado wanakumbukwa kwenye...
4 Reactions
24 Replies
289 Views
Katika Dunia, Kuna mengi Ila mume/ mke ulie nae, unaeza kuta katika ukweli wa Ndani wa Moyo wake Wala wewe ulie nae sio chaguo lake, Ila Yuko na wewe ili mladi tu Maisha yaende. Yaani unaeza kuta...
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,847,814
Posts
49,466,434
Members
666,454
Latest member
Dr Sifael Mk
Back
Top Bottom