Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Zamani nilikuwa ninawashangaa sana na kukemea tabia za baadhi ya wanaume ambao wakitoka kazini hawaendi nyumbani wanapitia Bar kupoteza muda ili masaa yasogee. Sasahivi nimegundua kumbe wanakuwa...
9 Reactions
24 Replies
270 Views
Asanteni sana Wazee wa Kikwajuni Zanzibar hakika safari hii mmeamua kwani haiwezekani tukose vyote kwa 2024 sawa? Dr Matola PhD na Bujibuji Simba Nyamaume mpo? Kesho sitaki kabisa mkosekane hapa...
6 Reactions
25 Replies
846 Views
Mahakama ya Wilaya ya Hanang imemhukumu aliyekuwa Mkusanya Mapato kwa kutumia mashine ya POS wa Halmashauri ya Wilaya ya Hanang Bw. PETRO MICHAEL MURAY. Mshitakiwa ametiwa hatiani kwa kosa la...
0 Reactions
4 Replies
23 Views
Habari za muda huu....... Kumeripotiwa milipuko mikubwa kadhaa ndani ya Iran, Syria na Iraq. PIA SOMA: - LIVE - UPDATES: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Iran na Israel - Mafuta kupanda bei baada...
14 Reactions
646 Replies
22K Views
Niaje waungwana Baada ya kipigo cha makombora madogo tu yalioshindwa kuzuiwa na nchi zaidi ya 8 zinazojifanya super power duniani, Israel imeamua sasa kujibu kipigo hicho kwa kupanga mipango ya...
9 Reactions
30 Replies
699 Views
Ndege iliyombeba Mkuu wa Majeshi ya Kenya (KDF) Jenerali Francis Ogolla imepata ajali muda mchache baada ya kuruka angani. Bado Taarifa rasmi haijatolewa juu ya Usalama wao, lakini taarifa za...
20 Reactions
261 Replies
13K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
121 Reactions
509K Replies
29M Views
Naomba msaada anaeweza kunisaidia kumfikia wakala huyu VODACOM LIPA NDAYAVUGWE EUSTACE MANYAGA 5999506 Nililipia bidhaa nikakosea namba moja nikalipa kwake . Nimekosa msaada huduma kwa wateja...
1 Reactions
4 Replies
5 Views
Nimeamka zangu Asubuhi hapa,baada ya kupiga Ishara ya Msalaba kumshukuru Mungu kwa kuniamsha salama, Nashika simu nakuta Reminder ya kua Leo ni Derby ya Kariakoo Moja ya Derby kubwa sana Afrika...
1 Reactions
11 Replies
186 Views

FORUM STATS

Threads
1,846,950
Posts
49,435,670
Members
666,146
Latest member
asamG
Back
Top Bottom