Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
260 Reactions
156K Replies
4M Views
BISSIROU DIOMAYE FAYE-RAIS KIJANA WA SENEGAL: Ni mtu aliyevunja rekodi,kwa kugombea nafasi ya juu sana kwa mara yake ya kwanza, na akashinda kwa kishindo.Pia ni mtu ambaye wakati anagombea urais...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Polisi wa Kidini nchini Nigeria wamekamata watu 11 siku ya Jumanne kwa kuonekana wakila chakula mchana katika mwezi wa Ramadhani. Watu hao wamekamatwa katika jimbo la kaskazini la Kano. Kano ina...
11 Reactions
96 Replies
2K Views
Alfajiri ya tarehe 1, tulikuwa tumepanga safari ya kwenda nje ya nchi mimi na mke wangu, maandalizi yote ya safari yalikamilika vizuri na tulitarajia kusafiri pamoja na mtoto wetu kipenzi...
6 Reactions
10 Replies
2K Views
Ibaki kuwa siri ya Rais na watu wake baasi, maana kiukweli pamoja na madudu yote yanayoanikwa lakini hakuna hata mmoja aliyechukuliwa hatua. Zaidi ya kuleta manung'uniko na hasira kwa wananchi...
13 Reactions
39 Replies
637 Views
Je, yuko sahh au mimi ndiyo sijui??
2 Reactions
12 Replies
437 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
915 Reactions
1M Replies
38M Views
Saizi huyu ni Senegal president na yeye ni first Lady....😊
23 Reactions
45 Replies
917 Views
Huyu ni Mwanaume kutoka Nigeria ambae amejibadilisha na kuwa na muonekano wa kike. Jina lake ni Daniel Anthony Nskan.
1 Reactions
89 Replies
2K Views
Kocha Mkuu wa Simba SC, Abdelhak Benchikha amesema vijana wake wapo tayari kwa mchezo wa kesho dhidi ya Al Ahly na wanahitaji kupata mabao mengi nyumbani, ili kujitengenezea mazingira mazuri...
5 Reactions
24 Replies
776 Views

FORUM STATS

Threads
1,840,434
Posts
49,201,897
Members
664,010
Latest member
urioamu
Back
Top Bottom