Habari wakuu,
Naombeni mnishauri.
Mimi nilioa miaka 18 iliyopita mpaka niko na mke wangu tuna watoto kadhaa na mali kadhaa. Sasa huyu mke wangu alikuwa mkiristo mimi muislam kwenye kufunga ndoa...
Rais DK.Samia anazidi Kujipambanua na kujitofautisha na watangulizi wake Kwa kuacha alama.
Kutokana na sera yake ya kufungua Uchumi wa Nchi, Halmashauri ya Jiji la Arusha inatarajia kukusanya...
Serikali Imepunguza Bajeti ya Nishati Kwa zaidi ya Trilioni 1.
Unajiuliza Kwa nini upunguze Bajeti wakati Kuna Mikoa Iko off grid eg Rukwa,Katavi,Lindi na Mtwara?
Pili unapunguzaje Bajeti wakati...
Nyumba Inauzwa.
Ipo Vingunguti kituo msikitini karibu na Tabata Barakuda.
Ina Vyumba vinne(4), hakuna master bedroom.
Eneo Sqm 135.73
Ina leseni ya makazi.
Bei Milioni 85
Karibu sana mteja...
Kauli ya Mbowe inanikumbusha Swali la Mungu wa Mbinguni na Majibu ya Adam pale Eden
Mungu: Adam kwanini umekula tunda nililokukataza usile
Adam: Ni huyu mwanamke uliyenipa ndio amenidanganya...
Kwema jamani
Vyuma vimekaza natamani nipate hata hiyo tenda ya kuandikisha daftari la wapga kura. Ishu ni kwamba cheti cha form four nilipoteza. Je, hakuna namna naweza kupata hii dili...
Dar ni sehemu yenye raha nyingi kama kulivyo na karaha nyingi pia. Japo kwangu nikipima naona karaha ndio zimezidi.
Ni kawaida sana kukuta misururu ya foleni ya watu wakigombea usafiri tena...
Muungano ni wa Nchi 2 Tanganyika na Zanzibar na ikazaliwa TANZANIA.
Zanzibar ipo ina Mihimili yote Mitatu yaani SERIKALI BUNGE na MAHAKAMA pia BENDERA na Wimbo wa Taifa.
TANGANYIKA Haipo hakuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.