Kuna siasa za majibizano zinaendelea ndani ya uongozi wa juu kabisa wa CCM na serikali kuu. Mheshimiwa Nchimbi haonekani kufurahishwa na hulka za kikazi za RC wa Arusha na hakai na kitu moyoni...
Ndio nilikua nimemaliza tu chuo kikuu, na nilikua na kiasi cha tsh laki5 tu, cash in hand, fedha ambazo nilikua nikijibana bana na kudunduliza nikiwa chuo kwa madhumuni haya haya ya kugombea...
Mzee Emil Lesheya Woiso amefariki leo asubuhi. Msiba upo nyumbani kwake Tegeta karibu na IPTL.
Alikuwa mmiliki wa Tarakea Restaurant pale Mwenge na Cornelius Girls Secondary School pale Tegeta...
Habari zenu;
Kama hujawahi juiliza basi jiulize Je nani alimtoa mke wako bikra?Kama ni wewe je umegundua tofauti gani katika nyumba yako?na kama sio wewe je umeona tofauti gani?
Ni ukweli...
Nimeona Taarifa Ya Utenguzi wa Mkurugenzi wa Mafia.
Kiukweli Nimefarijika sana na Nimeona Kweli haki imetendeka na Imeonekana Ikitendeka..
Ni wazi kuwa Nchi imepata Viongozi waadilifu Na hasa...
Bei ya maji kwa Dar es Salaam ni Tsh. 1,663 kwa Unit moja(1) ambayo ni sawa Lita 1000 za maji, yaani Madumu 50 makubwa ya Lita ishirini.
Wapangaji wengi wakiamia kwenye Nyumba za kupanga za...
Habari ndugu zangu ,Mimi ni mhitimu wa kidato Cha sita,Katika maisha yangu ya elimu nilikuwa natamani niwe daktari wa moyo( cardiologist) sasa matokeo yangu so mazuri kivile kwa PCB nina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.