Wengi wetu tunakaribia kusherekea sikukuu za Pasaka na Eid el Fitr.
Mi binafsi nitaenda kufurahia sikuukuu yangu katika hiyo COCO BEACH.
Je,nawe utaenda wapi...
INTRO
Watu wengi wanaopenda kudadisi na kutafakari undani na ukweli wa mambo . Mara nyingi hugundua kwamba mfumo wetu wa maisha kiujumla una maswali mengi sana abayo hayana majibu kamili...
Naomba ushauri cha kufanya ili niweze kusave pesa zangu maana nikikamata milioni 1 ndani ya Wiki moja inaisha, mpaka najiona nina jini Makata fedha...😁😁😁
Wakuu salaam,
Tofauti na mama yako na mke wako wanawake wengine wote achana kujifanya kuwasaidia wanakuchora tu. Wanawake ni viumbe wabinafsi kuliko viumbe wengine wote chini ya mawingu mpaka...
Kwamba Rais mpaka sasa haoni kile kinacho endelea Zanzibar ? Au kwa sababu ni watu wa imani yake na ndugu zake Wazanzibari ?
Mnataka mturudishe kwenye fujo za mabucha ya ng'ombe wakati wa Jakaya ?
Kesho ni ijumaa kuu kwa kifupi ni njia ya msalaba bwana yesu wetu kristo alipitia katika mateso yake
Najua hatutakula nyma kabisa je ni hatari na haramu nikila samaki?
Msaaada naombeni
Habari wana theolojia.
Mathayo, Marko, Luka na Yohana hawa walikuwa ni mashahidi wa macho waliopata kumuona na kumsikia Yesu Kristo, hata baadaye wakapata msukumo kupitia roho mtakatifu...
Kumekuwa na sintofahamu kati ya Majiji haya mawaili yanatotikisa Tanzania ukiachilia Dar.
Majiji haya yamezua gumzo miongoni mwa watu kwa kujaribu kuyashindanisha lakini pamoja na kuyashindanisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.