Haya maisha bwana.
Mwaka 2019, nilifanya interview na shirika Moja la waingereza, aisee interview ilikuwa Kali hatari, nilikuwa natoa jibu linalonijia kichwani.
Cha kushangaza baada ya wiki Moja...
Hossein Hosseini, mlinda mlango wa klabu ya soka ya Esteghlal ya Iran, ameitwa kwenye kamati ya nidhamu ya Shirikisho la Soka ili kuelezea tukio la kumkumbatia shabiki wa kike.
Tukio hilo...
Natumaini wazima
Leo nawaletea recipe ya kupika samaki wa Nazi chukuchuku,wengine wanasema mchuzi ambao hauna mambo mengi
MAHITAJI
Samaki wabichi unaweza tumia pia wakavu...
Iko wazi na sio siri mwakan Tundu lissu ndo Rais ajaye; baada ya kuwa Rais atafanya yafuatayo
Rais hatachagua mkuu wa tume na wajumbe wake- tume itakua huru kwa asilimia 100
Majimbo ya uchaguzi...
Kufa kufaana... Karibu dukani kwetu mtaa wa Kalenga karibu na hospitali ya Taifa ya Muhimbili, njoo tukuuzie masanduku ya kisasa yakawaida na yakidijitali kwa gharama nafuu sana.
Sema biashara...
Sina maelezo mengi wote wenye akili timamu tumeona biasness, hypocrites, na double standard nyingi kwenye huu mgogoro. Media coverages ni full of biasses kila mmoja amechukua upande, je nani...
Na. David Kafulila
NIMELAZIMIKA kushika kalamu ikiwa ni baada ya kusukumwa na andiko la ndugu na jamaa yangu wa miongo mingi na aliyepata kuwa Mbunge wa Jimbo la Ubungo...
Utasikia
fulani alikuwa jambazi hapo zamani kwa sasa kaokoka
Fulani alikuwa tapeli sugu hapo zamani kaamua kuokoka
Fulani alivunja ndoa za wengi hapo zamani kaamua kuokoka
NONSENSE, UJINGA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.