Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari ndugu wanaJamiiForums, Rejea kichwa cha mada chausika. Mimi nina mgonjwa hospitali ya wilaya mkoa wa Kagera, kila dawa tunayoandikiwa na daktari, tukienda famasi hawana. Lakini wagonjwa...
10 Reactions
89 Replies
2K Views
Nimesikitishwa na hali inayoendelea Zanzibari kukamata watu wanaokula mchana nakupewa kipigo hali hii imekuwa inajitokeza kila mwaka mwezi huu wa ramadhani Kilichonisikisha mwaka huu vyombo vya...
5 Reactions
57 Replies
938 Views
Wakuu...baada ya kupata iftr nikasema ngoja nisogea hapo baa mdogomdogo niangalia simba na Al ahly... Nimefika nimetoa buku tano ili muhudumu anirudishie chenchi baada ya kununua maji..yule dada...
17 Reactions
76 Replies
1K Views
Mimi ni muumini wa Investment kwenye Soka, ninaimba sana hapa JF, siamini katika uchawi na maisha sio rahisi hivyo. siamini porojo za media zinazofanywa na SSC na Yanga. Naamini katika pure...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Hizi hapa Nukuu za Dkt. Biteko akifichua Mtao wa uhujumu miundombinu 1. ’'Tarehe 13 mwezi wa pili mwaka 2024, BAGAMOYO alikamatwa mtu mmoja pale akiwa na Lita 80 za mafuta ya Transfoma, kesi...
0 Reactions
7 Replies
137 Views
Rais mstaafu wa Afrika Kusini, Jacob Zuma (82), amezuiwa na Tume Huru ya Uchaguzi ya Afrika Kusini ili asigombea Ubunge wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 29 Mei 2024. Mh. Jacob Zuma alitaka kugombea...
4 Reactions
12 Replies
624 Views
Kanisa Katoliki laanzisha bima yake ya afya nafuu kwa ajili ya waumini wao baada ya kuona wanahangaika Safi sana..Mambo ya bima ya afya serikali iachane nayo iachie sekta binafsi kama mambo...
17 Reactions
66 Replies
2K Views
Leo nawashangaa sna mnatunyima kula mchana kisa mmefunga! Najiuliza mbona mnashindwa kujenga vitu vya maana kabisa ninyi mnakazana na dini wakati mkiugua mnakimbizwa KCMC au Bugando kutibiwa na...
31 Reactions
285 Replies
3K Views
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
260 Reactions
156K Replies
4M Views
Salaam,Shalom. Nadhani swali linajieleza, Kwamba Serikali ya MAPINDUZI Zanzibar Ina dini? Ikiwa Ina dini, dini Gani? Na issue ya mtu KUFUNGA ni Tendo la Siri au la hadhara? Karibuni🙏
2 Reactions
29 Replies
449 Views

FORUM STATS

Threads
1,840,807
Posts
49,214,797
Members
664,092
Latest member
Mwivano Kaoneka
Back
Top Bottom