Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari zenu jamani, Mimi ni kijana Nina Miaka 25 nina jambo langu linaeda kama ifuatavyo. Kipindi nipo chuo mwaka wa kwanza ambapo nilikuwa nasomea kada ya Afya, Kuna Binti nilikuwa naye kozi...
7 Reactions
98 Replies
1K Views
Dunia haina siri, waislamu wamefunguka kwamba ule msikiti ambao JPM alikuwa anatamba kuwaombea waislamu wajengewe kumbe ni kazi iliyoanza enzi ya JK mpaka Mufti akasafiri kwenda kwa nchi...
8 Reactions
346 Replies
11K Views
Habari wana jf. Naimai mko poa kabisa Kama kichwa cha habari kinavyosema Nimekuwa na mahusiano na waschana takribani matano mpaka sasa hivi. Ila cha kushangaza kila demu napokuwa kwenye mahusiano...
7 Reactions
33 Replies
203 Views
Fuatilia yanayojiri wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya CAG na TAKUKURU kwa mwaka 2022/23, Ikulu ya Chamwino, Dodoma, leo Machi 28, 2024...
8 Reactions
98 Replies
3K Views
Wakuu, Kama mnavyojua, ATCL kila mwaka inapata hasara. Mfano mwaka uloisha 2022/2023 imepata hasara ya Bilioni 56. Hii BIlioni 56 ni Madara au Hospital ngapi? Ingesambaza maji Vijiji vingapi...
1 Reactions
8 Replies
77 Views
Nimemsikiliza CAG Ikulu Dodoma wakati wa kuwasilisha report yake Kwa Rais nimeshtuka sana. Moja ya sababu alizozitaja za NHIF kupata hasara ni wastaafu kutibiwa bila kuchangia. Sasa swali langu...
12 Reactions
28 Replies
424 Views
Kwa atakae hitaji gari canter tani 2.5 kwa milioni 14 bado inadai kabisa kwa mawaailiano piga 0685899619. Sent from my CPH1933 using JamiiForums mobile app
2 Reactions
21 Replies
626 Views
Mahakama ya Wilaya ya Mbulu imemhukumu MELKIADI ZAKARIA TLEHEMA aliyekuwa Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Hayloto kata ya Nambris, Wilaya ya Mbulu Mkoa wa Manyara. Mshtakiwa ametiwa hatiani kwa...
0 Reactions
3 Replies
71 Views
Mkaguzi Mkuu na Mdhibiti wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere amesema Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) kwenye mwaka wa fedha 2022/23 limepata amebaini hasara hasara ya Sh56.64 bilioni...
1 Reactions
2 Replies
3 Views
CCM kama chama dola nchini Tanzania kimefanikiwa sana kujitengenezea upinzani wake na wapinzani wake ambao kwa uhalisia nao ni Ccm nje ya Ccm. Mmoja wao ni Mbowe na chama chake cha Chadema...
7 Reactions
47 Replies
750 Views

FORUM STATS

Threads
1,840,284
Posts
49,196,024
Members
663,967
Latest member
Abel paschal
Back
Top Bottom