Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nimefuatilia Msiba wa huyu Jamaa, Mtangazaji wa Clouds aliyetutoka juzi na kuagwa leo Leaders Club, Leo ndio nimewajua wabongo wanaojiita watu maarufu, yaani kichefuchefu kuliko kichefuchefu cha...
11 Reactions
65 Replies
5K Views
Naomba ukweli tu ndio usemwe nani mwenye uwezo wa kimedani Kati ya mahasimu hawa wawili kati ya muyahudi na waajemi. Kuna watu wanapenda mambo ya medani japo vita ni kuzimu(hell) ila ni hulka ya...
6 Reactions
66 Replies
2K Views
Yaani dunia ya sasa mwanaume ukijiweka kwenye angle ya kujifanya nice guy lazima ulambwe. 20% zinatosha kua humble na 80% kua katili ukiwa humble lazima lilikukute jambo baya na gumu. Yamewahi...
34 Reactions
58 Replies
1K Views
Ila huyu mzee sijui mzee nani maana kanyooka kama rula😁
8 Reactions
23 Replies
713 Views
Miongoni mwa mambo ninayo yangoja kwa hamu ni kuingia mojakwamoja peponi. Naomba kuuliza wataalamu wa maandiko endapo peponi kuna nyama choma yenye pilipili kwambaali na limao. Imeandikwa...
2 Reactions
9 Replies
29 Views
MAMBO 17 YALIYOSABABISHA KUUAWA KWA GADAFFI 1. LIBYA kulikuwa hakuna bili ya umeme, means umeme ulikuwa bure kwa raia wote 2. Libya kulikuwa hakuna Riba kwenye mikopo, Benk zote Libya zilikuwa za...
22 Reactions
66 Replies
2K Views
MUUNGANO CUP: Nusu fainali ya kwanza inachezwa leo Jumatano Mnyama Simba SC kukipiga na KVZ Kikosi cha Simba kinachoanza Goool 25 Fred anaitanguliza Simba
1 Reactions
6 Replies
44 Views
Kuna pisi kali nimezaa nao mpaka nafsi yangu inasikia faraja; watoto wakali kuanzia sura, chura, hipsi, urefu, na wakazaa watoto wazuri hata nikiwaona kwa mbali najiona kweli nimetumia uanaume...
3 Reactions
51 Replies
332 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
121 Reactions
511K Replies
29M Views
Kwa mujibu wa Ratiba iliyosambazwa na CHADEMA, leo ni zamu ya Mkoa wa Simiyu, ambako wananchi wataandamana mitaani kupinga Ugumu wa Maisha na Sheria mbovu za Uchaguzi nchini Tanzania. Kama...
11 Reactions
73 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,848,234
Posts
49,479,175
Members
666,657
Latest member
moma22
Back
Top Bottom