Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
915 Reactions
1M Replies
38M Views
Hapa ngoja nizungumze kitu kimoja, muone jinsi dunia ilivyo. Hii dunia ina watawala wake ambao kimsingi si wale wanaomuabudu Mungu, kuna mambo mengi wanataka kuyaficha, hawataki wewe uyajue hata...
3 Reactions
5 Replies
309 Views
Wametua bana, mmeona pia mfuturishe bure uwanjani ili watu wajae mfanye yale mambo yetu. Cwezi vaa jezi ya Mamelodi lakini siwezi kushangilia ushindi wa Yanga hata iweje.
2 Reactions
13 Replies
283 Views
Kwa dhati kabisa nampongeza mfuasi wa Mbowe, ndugu Yeriko kwa kutambua juhudi zinazofanya na serikali ya CCM chini ya Mama Samia Hassan Suluhu. Kaandika hivi kwenye ukurasa wake wa Facebook...
7 Reactions
56 Replies
2K Views
Habari wakuu Lipo eneo la biashara Morombo sokoni ambalo halijakamilika kujengwa. Ni chumba kikubwa kimejengwa kufikia lenta. Kama una shamba maeneo ya mikoa ya Arusha, Manyara au Kilimanjaro...
0 Reactions
3 Replies
4 Views
MDOMO UNAUMBA, JINENEE MEMA. Miaka mitatu nyuma kulitokea kutokuelewana kati ya Jay Melody na Nandy ambapo Jay Melody alisikika akilalamika kuwa wakati Nandy hajawa msanii mkubwa Jay Melody ni...
1 Reactions
3 Replies
37 Views
Habari! Nilipomaliza form 6 zikatoka nafasi za kwenda jeshi wanaita "kwa mujibu" basi nikaangaza macho yangu kwenye orodha nikaona "Ephen - Rukwa" Basi nikafurahi sana, furaha haikua kwasababu...
127 Reactions
1K Replies
319K Views
Wakati anakanidhi Ofisi Kwa Mteule Mpya,Efraim Mafuru amesema Mda wowote kutoka Sasa , Serikali ya Mama itaanza ujenzi wa Ukumbi Mkubwa wa Mikutano ya Kimataifa Maarufu kama Mount Kilimanjaro...
2 Reactions
32 Replies
661 Views
Passenger traffic 1 Julius Nyerere International Airport Dar-es-salaam Dar es Salaam 2 Abeid Amani Karume International Airport Zanzibar Zanzibar 3 Kilimanjaro...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Huyuu👇👇 Kajisahau.. Huenda anahisi katoboa. Anamess na population moja inayoweza muamulia mtu maisha. Mshaurini aendelee kupambana na Break Ups zake.
9 Reactions
47 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,840,254
Posts
49,195,082
Members
663,952
Latest member
Eber Manya
Back
Top Bottom