Tunahitaji mbadala wa CCM na CHADEMA
ITACHUKUA muda kuelewa nini hasa kilichokikumba Chama Kikuu cha Upinzani nchini (CHADEMA) hadi kikashindwa kutatua mgogoro wa uongozi na hatimaye kuingiza...
Salaam, Shalom!
Wakati tukielekea uchaguzi, vyama hutoa malalamiko kuwa wanaibiwa kura na kwakuwa tunapambana kuhakikisha, tunapata Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi kabla ya Uchaguzi wowote...
Naendelea kuwakumbusha tuu kwamba miaka 6 ya Uongozi wa Awamu ya 5 sekta ya nyumba "Rea estates" ilidorora,Kudoda na kuporomoka kwa kasi ya mwanga hadi kufikia nyumba nyingi huko Dar kuwa empty na...
Leo ukisimamishwa ili ujitambulishe kuwa wewe ni nani, kwa vyovyote vile utaanza kutaja majina yako, ukiendelea mbele zaidi unaweza kutambulisha anuani unayotoka ama nasaba yako. Majina uliyonayo...
Tukio hili la kusikitisha lilotokea mwezi uliopita katika Kata ya Machame Narumu huko wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro limeleta sintofahamu katika familia ya kijana huyo ya watuhumiwa kuachiwa...
Habari zenu wanaJF natumai wote ni wazima.
Mara kadhaa nimejikuta nashtuka usiku wa saa 7 au saa 8 usiku na usingizi kukata kabisa, inaweza kunichukua hata lisaa kupata usingizi tena.
Nimejaribu...
TeamJf,
Salaam na hongereni sana kwa mfungo MTUKUFU na QARESMA!
Nimefuatilia mazungumzo ya binti wa hayati John Joseph Pombe Magufuli katika kumbukizi ya kifo cha baba yake nimegundua ni MTU...
Mwarabu amewaonea huruma, mnataka au Hamtaki?
======
ATANZANIA wataanza kunufaika na fursa za ajira nchini Oman baada ya kuhitimishwa kwa majadiliano ya kuratibu ajira hizo kwa ajili ya...
WAZIRI MHAGAMA AWATAKA WATUMISHI WA OFISI YA WAZIRI MKUU KUENDELEA KUTEKELEZA MAJUKUMU KWA UBUNIFU
Waziri Wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera ,Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama ametoa wito...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.